JE? YESU NI MUNGU? MDAHALO MKALI KATI YA NDACHA NA MAZINGE
44K views · Jul 12, 2026 · People & Blogs
Comments · 144
@francismaina9448 · 4 months ago
Habib, Professor, Doctor Mazinge
5
@SamuelMatu-g5o · 12 days ago
if you cannot understand the PLAN OF REDEMPTION then you will forever say Jesus is not GOD
1
@richardkorir4234 · 4 months ago
A time will come when there will be only one God as the king of the earth and his name will be one, the LORD. Zachariah 14:9.
@heavens9451 · 4 months ago
Simulizi. Tengeneza hii Vdeo iwe HD QUALITY na Saudi iwe Clean
@HakimKipacho · 2 weeks ago
Ni mwana wa mungu alie na uungu sio mungu
@poto-61 · 1 month ago
Yesu hawezi akawa Mungu. Hiyo ni kumtukana Mungu.
Mungu hawezi lala mu tumbo ya Mwanadamu myezi 9, hawezi kupita mu kuma ili aje duniyani. Tumiyeni akili jameni
@MwisyoJuma · 3 months ago
Mtumishi uko na juhudi kufundisha lakini SI katika maarifa kwasababu mungu amekamilika katika yesu na Roho mtakatifu
@jei_Ibrahim · 4 months ago
Hivi leo tare 14/07/26 nikiandika hii comment ndachaa ana hubiri yesu sio Mungu. Na hayo ndio matokeo jifunze kitu matokeo huchukuwa mdaa
2
@petermwangangi8760 · 4 months ago
Yesu ni Mungu, angalia unabii ktk isaya 7:14 na ukatimia mathayo 1:21-23, na pia tito 2:13 anatambua Yesu kristo ni Mungu mkuu, kwa ufafanuzi kidogo ule mwili wa Yesu ndio uliitwa mwana na ROHO yenye iko ndani ya mwili ndio MUNGU, Yohana:4:24 Mungu ni Roho, ndio maana alipaa mbinguni na mwili wake sababu aukua mwili wa kawaida, ata wakati alilia akasema Mungu wangu ikiwezekana niondolee kikombe iki, mathayo 26:39 so utakuta ni ule mwili ulikua unalilia ile Roho ikimtoka kwmba Mungu(Roho) usiniache
@agripakibitanyi1798 · 4 months ago
lakini kwa hoja. JE Mungu lianza kazi wakati wa kuumba dunia? hasha Mungu alikuwepo tangu zamani nyingi kabla ya kuumba dunia. na pia dunia si kazi ya kwanza ya Mungu, aliumba vitu vingine na viumbe vingine. ni wazi kwamba Yesu amejieleza wazi kuwa alikuwepo kabla ya Dunia na hii ni kwweli niaminivyo mimi. lakini je waliokuwepo kabla ya dunia ni miungu? si kila kinachoonekana kuwa kilikuwepo kabla ya uumbaji wa dunia hakimaanishi ni Mungu. na pia Mungu amewaita watu tofauti ttofauti kuwa ni wana wake na bado hao si Mungu licha ya Mungu kuwaita wana wake. na pia Yesu alifanyika kuwa bora, alifanyika kuwa bora na nani? Mungu alimtukuza Yesu na kumpa ufalme. Na kuja kwa jina la MUNGU hapo haitoi ushahidi wa moja kwa moja. hata daudi alimwendea goliath kwa jina la Bwana, haimaanishi daudi alikuwa Mungu bali Mungu alifanya kazi ndani yake.
1
@georgemichael3791 · 4 months ago
What in the Quran said that Mohammad is a prophet. I will be convert to Muslim
1
@Rahmaibrahim-d8l9v · 4 months ago
Ndacha anani shangaza akiwa na mwakemwa anakataa yesu kuwa mungu na akiwa na waislamu anasema yesu ni mungu na aabudiwe una changaaya tu wakiristo
1
Up next

UST MAZINGE NA SHEIKH MWAIPOPO WAKIWA KENYA
Ustadh Shafii Online Tv · 29K views

UUNGU WA YESU NA MWALIMU NDACHA, YOUNG SAYEED NA SALUM DAWAH
Straight Path Dawah · 33K views

USTADH MAZINGE ALIVYOWABANA WACHUNGAJI
Ustadh Shafii Online Tv · 96K views

Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
DAAWA ONLINE TV · 247K views

KWANINI MWL. NDACHA ALIACHANA NA WASABATO.
Digitallytz · 1.6K views

YESU NI NANI KWA MUJIBU WA VITABU
WARNING VOICE OF THE LAST DAYS · 14K views

#KUMEKUCHA_SHEIKH MAZINGE NA WAKATORIKI MPAKA KIELEWEKE LEO AKIMBII MTU HAPA
JUMBA TV TANZANIA · 24K views

BUGDHA KATI YA WAKRISTO JUU YA UUNGU WA YESU
Straight Path Dawah · 12K views

DAH HUWEZI AMINI! DKT SULLE AMUAIBISHA MNO MCHUNGAJI NDACHA | MAZINGE AMVURUGA KABISAAAAAA
Riyadh Tv Online Znz · 407K views

#REC🔴KIDOGO MAZINGE ABATIZWE || HOJA WAISLAMU TUNAZO || IPI NI DINI YA KWELI | WAKRISTO V/S WAISLAM
ZVP ONLINE TV · 53K views

UST MAZINGE AWAFUNDUSHA WACHUNGAJI DINI YA MANABII..UST BAKOZI NA UST SULEIMAN WAKIWEPO
Ustadh Shafii Online Tv · 93K views

"MTU MWENYE AKILI HAWEZI KUANDAMANA, AMANI NI IBADA" SHEIKH MAZINGE AGEUKA MBOGO, AONGEA MAZITO
SINGO MEDIA · 10K views

🔥 MKATORIKI AMKIMBIA NDACHA! MAGUFULI STENDI | UTATU: MAFUNDISHO YA UONGO?
GOSPEL CORNER · 45K views

MAZINGE AMUUMBUA VIBAYA SANA PASTA ODADA KATIKA MASWALI NA MAJIBU JIJINI MWANZA 2004 MWAKA.
Saimu gwao Online tv · 476K views

MCH. NDACHA AMTOLEA UVIVU DANIEL MWANKEMWA; FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU NI FUNDISHO LA SHETANI
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO) · 65K views

ALLAH NI BABA? MWAL NDACHA AWABANA WAISLAM MBEZI MAGUFULI.
GOSPEL CORNER · 339 views

JE YESU NI MUNGU?
GOSPEL CORNER · 95K views

KATI YA YESU NA MUHAMMAD NANI WAKUFUATWA, MCHUNGAJI NDACHA AUBUKA, WAKRISTO WAELEWA UKWELI UKO WAPI
KHIDMA TV · 163K views

UST MAZINGE HAYA MAANDIKO MNASOMEWA HAMYASOMI
Ustadh Shafii Online Tv · 39K views

MAPASTA WAOMBA POO MBELE YA MAZINGE KWENYE MDAHALO
Madrasatulfurqani Tv · 16K views