Ads skipped

🔥 MKATORIKI AMKIMBIA NDACHA! MAGUFULI STENDI | UTATU: MAFUNDISHO YA UONGO?

45K views · Nov 15, 2026 · People & Blogs

Comments · 176

  • @moshajexplore · 6 days ago

    Watu wa mungu watatu wanaona Ndacha ameshindwa lakini hawataki kutumia biblia ya kiingereza ambacho hakisemi MUNGU MWANA

    3

  • @FredricSabai · 7 days ago

    We ndacha Unajua neno lakini halina mafuta ambayo ni roho matakatifu ambaye wanamatengenezo mnapinga Sana wala hamtaji kabisa na kuupuuza , ila injili yenu haiwezi okoa mwenye dhambi ila ninyi ni kushambulia madhehebu mengine nanyi mwajihesabia haki, sabato ni ya wayahudi ila wamataifa hawakupewa sabato ila kumwabudu mungu   pekee siku zote

    4

  • @JerryKathimika · 5 days ago

    Ndacha mimi ni sabato acha kubabaika ume shindwa roho mtakatifu akufundishe tena zaidi utatu mtakatifu upo

    1

  • @SimadaAndrea · 7 days ago

    Ndacha anataka kumfafanua Mungu kibinadamu bila unyenyekevu, Yesu ndio atakuacha upotee kabisaaaa katika uzushi wako!!! Utatu uko wazi kabisa katika Biblia. Vinginevyo Yesu hawezi kuwa Mungu kabisa.

    2

  • @richardmeshaki-d1e · 1 day ago

    Mim ni pentekoste  naamin Mungu mmoja ktk utatu mtakatifu

    1

  • @japhetjoseph1772 · 3 days ago

    Ndugu zangu katika Bwana, mtapataje! Neno la uzima  wangali mwasoma bibilia kwa ajili ya kushindana kwani ujui ya kuwa neno pasipo ufunuo ni maneno matupu.

    1

  • @amanmalima940 · 2 days ago

    Yesu Ndiye njia ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI (Yohana14:6 Warumi10:9-10).

    1

  • @SimadaAndrea · 7 days ago

    Ndacha Sasa hivi unaendesha midahalo kihuni, unashindwa na mkatoliki. Umejishusha sana. Usipoamini ni wewe Yesu ni Mungu

  • @yohanampangule8817 · 7 days ago

    yupo wapi leo

    3

  • @SimadaAndrea · 7 days ago (edited)

    Ndacha kasilimu basi ili uwe mwislamu maana unasema Yesu si Mungu. Mafundisho Yako ni mageni hayana mashiko ki Biblia kabisa.

    2

  • @willymaulidi3991 · 3 days ago

    Ndacha ,kubali kwa upande wa biblical wakatoliki ni Yao kwa hilo,hacha kusumbuka, ni uelewa tu

    2

  • @didasmajor9288 · 1 day ago

    Aisee kumbe Ndacha ni Genius kwa waoslamu tu, kwa wakristo ni kilaza kabisaaa

    1

Up next

LIVE

"WE'RE GOING DOWN!" Andy Goldstein ADMITS Man United relegation FEAR after Liverpool THRASHING!

talkSPORT · 271K views

LIVE

Burnham denies new deal with EU is a ‘prelude’ to referendum

ITV News · 13K views

LIVE

MCHUNGAJI ALIVYO KABWA KOO NA DK SULLE, VURUGU ZA HOJA ZALINDIMA KWENYE MDAALO

Mbengo Tv · 294K views

LIVE

COP31 Ends in a Deadlock - Onoja

Arise News · 733 views

LIVE

MAISHA YA MWAL NDACHA MPAKA KUACHANA NA WASABATO🏥

GOSPEL CORNER · 223K views

LIVE

DAH HUWEZI AMINI! DKT SULLE AMUAIBISHA MNO MCHUNGAJI NDACHA | MAZINGE AMVURUGA KABISAAAAAA

Riyadh Tv Online Znz · 407K views

LIVE

UTATU UMEWEKA MAMBO WAZI? NDACHA AMWACHA MWANKEMWA NA MASWALI MAZITO!

MQURAISH DA'WAH · 13K views

LIVE

LIVE:YANGA WANAZUNGUMZA MUDA HUU KUTOKA MAKAO MAKUU JANGWANI

MACHA TV · 7.6K views

LIVE

VATICAN CITY Nchi Inayoongozwa Na KANISA KATOLIKI

THE STORYSIDE · 80K views

LIVE

Imani za asili zilikuwa bora kuliko dini za leo? | Wenye Dini Vs Wasio na Dini | MUAFAKA Ep. 3

Denzo Production · 205K views

LIVE

MWAL NDACHA: YESU ALIZALIWA TAREHE NGAPI? | MASWALI MAKALI MZEZI MAGUFULI STENDI.

GOSPEL CORNER · 15K views

LIVE

DKT.SLAA AFICHUA MAZITO KINACHOENDELEA ICC AKIELEZA MAZITO KIFO CHA ANGEL ALIYEPIGWA RISASI OCT29

Optimized News tv · 16K views

LIVE

Alinunua nyumba ya mapepo

Tales Tea Room-254 · 5.4K views

LIVE

"MWL. NDACHA NA UTATU MTAKATIFU" NI WAPINGA KRISTO HAO, WANABUDU MIUNGU, WANANIITA MUISLAMU

SIMULIZI MEDIA · 17K views

LIVE

ISLAM AND CHRISTIANITY: WHICH IS THE TRUE RELIGION BEFORE GOD? DR. SULLE AND PASTOR NDACHA #day2

ISLAAH TV · 73K views

LIVE

MAZINGE AMWAMBIA MCHUNGAJI NDACHA ~ UMEINGIA CHA KIKE WENZAKO WANANIKIMBIA ~ AMTWANGA SWALI LA MWAKA

MASJID MTORO ONLINE TV · 531K views

LIVE

BADO NGOMA MBICHIII KATI YA MWANKEMWA NA NDACHA.

MQURAISH DA'WAH · 23K views

LIVE

BILA UWOGA SHEIKH SHAFII AFUNGUKA MAZITO MBELE YA SHEIKH KISHKI JUU YA SAKATA HILI LINALO ENDELEA

KHIDMA TV · 158K views

LIVE

UUNGU WA YESU NA MWALIMU NDACHA, YOUNG SAYEED NA SALUM DAWAH

Straight Path Dawah · 33K views

YouTube, with the door locked.

Aegis plays a clean stream instead of YouTube's player, so pre-roll ads, trackers, and fingerprinting never ride along. Drop Shields any time if you want the official player back.