AIC MAKONGORO CHOIR-KUTANIKENI
1.1M views · Sep 22, 2012 · People & Blogs
Comments · 227
@JoseRonofficialmusic · 1 year ago
Wagapi wako huku 2025 weka like ,,,,good songs
34
@MaurineCheptoo-jm4wj · 2 years ago
Woow it's a favourite song indeed😢 it reminds me my grandparents they used to listen this makongoro songs😢
7
@musinawambua4263 · 6 years ago
This reminds me the days of Rev.Kamau of Biblia Usema Kijabe!
9
@chrisshonga · 7 years ago
MUNGU awabariki waimbaji wote mlioshiriki katika kazi hii ya kumtukuza MUNGU katika ROHO na kweli! Nakumbuka miaka hiyo ya 1980 nilikuwa Mtoto mwenye miaka 15 bado nikiwa Sunday school katika kanisa la ISANGA MORAVIAN CHURCH-MBEYA, hizi ilikuwa moja Kati ya nyimbo zenu zilizonipa msisimko mkubwa Sana Ndani ya moyo wangu wa kumuimbia na kumtumikia MUNGU katika maisha yangu, zaidi kwa kuimba kwenu kwa matendo ambako kulinipa umaarufu mkubwa tokea nikiwa mdogo, Hadi Leo hii ambapo MUNGU kwa uwezo na uaminifu wake mkubwa ameweza kunilinda maisha yangu Hadi kuweza kumaliza kwa ushindi mkubwa lile kusudi lake nililoitiwa chini ya mbingu!!
MUNGU awabariki Sana wote mlioshiriki ambao mko hai Hadi Leo hii na hata waliotangulia mbinguni kwa Baba yetu kwani kazi yao ama kazi yenu hakika ilikuwa ni njema sana duniani zaidi kwangu Mimi binafsi kutokana na ile safari ndefu na ngumu Sana iliyokuwa imeandaliwa mbele yangu japo katika Hali ya utoto wangu sikuijua lakini kutokana na kazi yenu hii njema ya uimbaji huu wa kimbingu yote yamewezekana na kazi ya mbinguni imemalizika kwa ushindi mkuu na Hali bado moyoni kiu ya kumuimbia na kumtukuza MUNGU imesimama pale pale na inazidi kuwaka Ndani yangu siku Hadi siku zaidi kila saa na wakati ninapozisikiliza nyimbo zenu!

MUNGU Awabariki sana na kanisa la LUTHERAN IBADA ya KISWAHILI ya hapa LONDON pamoja na kikundi cha FURAHA kwaya ambacho tumezitumia kwa asilimia kubwa Sana nyimbo zenu ktk kuendelea kumtukuza MUNGU wetu katika nchi ya kigeni wote wanawasalimia sana!
Endapo kuna yoyote yule aliyeshiriki kuimba ama kushiriki katika kikundi hiki kwa njia moja ama nyingine tafadhali nitashukuru Sana endapo tunaweza kuwasiliana kwa email address yangu [email protected] ama hata whtasap kwa namba yangu ya simu +447904548221 japo hata kusema NENO moja tu kuwa "ASANTE" kwani hakika ni kwa sababu ya nyimbo zenu zilizonihamasisha Sana maisha yangu kumuimbia MUNGU na Hadi Leo hii naweza kusimama na kujipiga kifua kumshukuru MUNGU kwa kuweza kunipa ushindi wa kuimaliza kazi yake duniani iliyokuwa ndefu, ngumu, yenye miiba mikali na wanyama wakali na yenye maumivu makubwa sana! Na yote haya yamewezekana kutokana na hii juhudi yenu ambayo naweza kusema hata kwenu pia haikuwa rahisi kuifanya na yote ilikuwa ni kwa uwezo wake MUNGU wetu aliyeipenda Sana nchi yetu Hadi kuwaleta duniani watu kama nyinyi ambao kwa hii sadaka yenu Leo hii nchi yetu ina AMANI ya milele .

Naomba kusema tena MUNGU awabariki Sana!

CHRISTOPHER ELIAH SHONGA
15
@florencembuu2036 · 6 years ago
Old is gold nazipenda sana nyimbo za zama.
10
@HOPEAFRICATV · 11 months ago
24th Dec 2025, am still watching and waiting for the coming of Jesus Christ 🙏🙏
2
@NewtonOmongo-g9u · 1 year ago
This songs reminds me of my younger age way back in 1997 congratulations makongoro God rewards u with eternity
3
@richardthiongo653 · 8 years ago
Old is Gold.. I love This choir.
11
@GoodluckGodfreyNgomuo · 10 months ago
Who is here 2026
4
@johnkakusu1894 · 5 months ago
Mama loved this song, she would listen it everyday and it was those days when radios were rare
1
@wycliffemutisya · 3 months ago
I'm here 2026, love this song
1
@dottydoroo9384 · 2 years ago
nani ako hapa 2024 😊🙏
8
Up next

BEST OF UPENDO CHOIR MIX BY DJ RAIDS
Joe The Deejay · 424K views

Untitled
AIC Makongoro Vijana Choir, Upendo Hai Choir and more

AIC MAKONGORO CHOIR-SHIRIKISHO
HIMaachen · 1.4M views

They Laughed When She Was Kept In The Kitchen From The Suitor, Until He Tasted The Soup Full Movie
GoldenFate · 33K views

SAFARI BADO
JERUSALEM CHOIR KKKT MAFINGA OFFICIAL · 15K views

Lucky Dube Full Playlist - Full Album Top 20 Best Reggae Songs Of Lucky Dube #reggae #onelove
Roots & Vibes · 1.9M views

💯 🔥 🔥 🔥 OLD IS GOLD AMKENI FUKENI UPENDO HAI CHOIR NON-STOP VIDEO MIX 🔥 🔥 🔥
ARK GENERATION · 935K views

AIC MAKONGORO CHOIR-PAULO NA SILA
HIMaachen · 821K views

Israel Mbonyi - Kaa Nami
Israel Mbonyi · 27M views

RHUMBA MIX | OLIVER N'GOMA, MADILU SYSTEM, PAPA WEMBA, MBILIA BEL, KANDA BONGO MAN | VJ JONNIE 254
VJ JONNIE_254 · 5.9M views

Maisha mafupi_Muungano Christian Choir
Muungano Christian Choir · 1.2M views

Israel Mbonyi - Nitaamini
Israel Mbonyi · 68M views

AIC MAKONGORO CHOIR-FURAHA
HIMaachen · 449K views

BWANA U SEHEMU YANGU | TOP TENZI ZA ROHONI MIX | SWAHILI GOSPEL SOUNDS
KWIZERA REMY | SWAHILI GOSPEL SOUNDS and 4 more · 286K views

SIKIA SAUTI (OFFICIAL VIDEO) - UPENDO HAI MJINI CHOIR TANZANIA
Rehoboth well · 2.3M views

Mke mwema - Mkemwema choir (Official Music Video)
MKEMWEMA CHOIR · 2.8M views

Mkumbuke Mungu
Apostle Kyande · 7.3M views

LULU-Mtoni Evangelical Choir
Nyathi Nyakatch · 3.1M views

ULISEMA NINAPOSHINDWA NIKUITEE | Deep Swahili Gospel Worship Songs 2026 | Worship & Glory
Worship and Glory · 335K views

Mtu wa Nne - Kinondoni Revival Choir (Official Music Video).
Kinondoni Revival Choir [KRC] The healing voice · 1.2M views