Ads skipped

Ana miaka 33/Amejenga Nyumba 1000+/Alianza na Milioni 3/Atajwa na Forbes Afrika

12K views · Nov 10, 2026 · Entertainment

Comments · 20

  • @geofreymtensa · 7 days ago

    Mwandishi salute.....umetisha...👍🏿

    2

  • @edsonteri4489 · 5 days ago

    Ana miaka 33 alipokuwa na miaka 19 ilikuwa ni mwaka 2015 na kariakoo nyumba ilikuwa ishafika milioni 600 mpaka bilioni moja na yeye alikuwa na mwaka mmoja tu ktk biashara akanunua na akajenga sasa ujenzi wa gorofa tukadirie bilioni 5 sawa sikatai kuwa inawezekana ila mtaji huu wa uaminifu kupata mtaji huu tena una miezi kadhaa tu ktk biashara benki gani ilimuamini binafsi labda aniambie yeye ni brand ya familia yao ambao labda washaanza biasha ra muda mrefu hapo sawa kama vile mo alipokuja kutoka ulaya masomoni akamtuta baba yake tiari anzungusha karibu bilioni 30 kutokana na elimu na uaminifu ndio akapaaa watu wakajua mo kafanya miujiza lakini nyuma kuna kazi nzito ilishafanyika

    1

  • @WingodEpafra · 5 days ago

    Kwani kwass ana miaka 33inamaana kwa umri wake alinunua nyuma karkoo shingap kwa mfano km atapata nyumba ya bei raisi 300au 400

    2

  • @SameDulle · 1 hour ago

    😮😮🎉🎉🎉❤❤❤

  • @salumduru7039 · 12 days ago

    Kuwe na Mfumo Maalum wa kuwatambua Madali kwenye DATABASE na wawe na Utambulisho na Leseni hai ambayo ukiingiza tu namba ya kitambulisho chake imsome na Walipe Kodi ya mapato

    4

  • @Sundayzawadi-i1j · 5 days ago

    Mapambano yanaendelea

    1

  • @salumduru7039 · 12 days ago

    Mtaji wa Uaminifu labda kwa ndugu zake ila Bank hawana huo Mtaji wa Uaminifu bali Dhamana (Collateral)

    3

  • @salumduru7039 · 12 days ago

    Hawa Madalali wa REAL ESTATE wawe regulated na Sheria ili kuepuka matapeli

    5

  • @Innocenaf · 3 days ago (edited)

    Hakuna cha Sola Wala cha nin huyu kanyenyuliwa familia walimuunga mkono we sunaona ngozi yake ndo walewale...kujenga Kariako&apos;o Mtoto wa miaka 19 wapi na wapi mbona mnaleta utani na pesa???<br>Maan pale yapo maghorofa Je hizo Sola ndo zilikua zimeshatoa zaid ya 1B? Kwa mtaji wa 3M???<br>Jameni amkeni tunapigwa hapa. Labda kama kapewa na Majini nitakubari.

  • @rr4dn · 12 days ago

    miaka 19 amejenga kariakoo &nbsp;mbona kama sielewi

    1

Up next

LIVE

Alianza Wapi? Safari ya Abasi Kimvuli Kufikisha Uwekezaji Bilioni 1 | Victor Busara

VICTOR BUSARA · 56K views

LIVE

KUTOKA DAR HADI AFRIKA KUSINI, SAFARI YA KUKATALIWA, KUTAPELIWA NA MARAFIKI, KULALA KWENYE MAGOFU

Millard Ayo · 35K views

LIVE

MR. T TOUCH AANIKA USHAHIDI, BEAT SIO ZA S2KIZZY, KOMASAVA YA DIAMOND IPO!

Wasafi Media · 58K views

LIVE

PHONEBOOK: MIMI MARS MAKES CONTROVERSIAL CALLS | WATCH THE REACTION

TVE TANZANIA and EFM TANZANIA · 30K views

LIVE

Jifunze Kusimamia Hata Shilingi 100: Siri ya Utajiri na Ufanisi wa Biashara

SCCULT Online TV · 11K views

LIVE

PART TWO: WOLPER NDOA YAKE KUVUNJIKA, KUNYIMWA TALAKA NA BABA P "NINA WATU WATATU, SIOLEWI TENA”

Millard Ayo · 80K views

LIVE

THE NEW AFRICAN DREAM | OWNERSHIP, INVESTMENTS & FREEDOM | EPISODE 1

MILIKI MALI MEDIA · 485 views

LIVE

SIRI YA MAKAZI YA KISASA | HIVI NDIVYO MAKAZI YA KISASA YANAVYOPASWA KUWA | EPISODE 3

MILIKI MALI MEDIA · 978 views

LIVE

EXCLUSIVE: WOLPER AFUNGUKA “NILIKUWA MJINGA,NILIPIGWA,NIKAUZA GARI,SPONSOR AKANIACHA KISA HARMONIZE”

Millard Ayo · 87K views

LIVE

Jinsi ya Kuwa na Pesa Nyingi Kuliko Unazohitaji | Mbinu Nilizotumia

IntelligenceFx and Let's Impact Millions Podcast · 23K views

LIVE

BREAK THE MENTAL CHAINS With Instructor Cosmas Madulu | (Episode 1) @BookClub11 Dialogue Based on...

Hub of Wisdom Inc. · 24K views

LIVE

ALIANZA NA MSHAHARA WA TSH 30,000 LEO ANAMILIKI BIASHARA YA BILIONI MOJA

THE NEXT MOVE PODCAST · 809 views

LIVE

Biashara 6 Unazoweza Kuanza Bila Mtaji Kabisa (Au Mtaji Mdogo)

IntelligenceFx and Let's Impact Millions Podcast · 21K views

LIVE

Iko Wapi DAR LUX? | Mabilioni ya Madeni, Kesi Mahakamani na Safari ya Kukua Hadi Kupotea!

RoadLife by Eriq · 107K views

LIVE

LIZER Afunguka DIAMOND kugombana na S2KIZZY/Wasanii wa Tz WAOGA/ KUTUKANWA wasiogope

Rick Media · 30K views

LIVE

MIMI KUWA HAI NI MUUJIZA/MPENZI ALITAKA KUNIUA.

Story Yangu · 17K views

LIVE

APITIA MAZITO MPAKA /NILILALA MSITUNI NIMETUMIA MIAKA 12 MPAKA KUFIKA

CLASSIC TV · 11K views

LIVE

NILIKUA SINA PAKULALA ULAYA NIKAWA NAKESHA DISCO/NILITENGWA NA KILA MTU/GETO LILIKUA NA WATU 17

CLASSIC TV · 30K views

LIVE

ANZA SAFARI YA KUMILIKI NYUMBA YAKO | MKUYU AFRICA | EPISODE 5

MILIKI MALI MEDIA · 812 views

LIVE

IBRAAH amwaga SIRI nzito za MARIOO/Kumsema VIBAYA DIAMOND/HARMONIZE

Rick Media · 86K views

YouTube, with the door locked.

Aegis plays a clean stream instead of YouTube's player, so pre-roll ads, trackers, and fingerprinting never ride along. Drop Shields any time if you want the official player back.