Alianza Wapi? Safari ya Abasi Kimvuli Kufikisha Uwekezaji Bilioni 1 | Victor Busara
57K views · Sep 18, 2026 · People & Blogs
Comments · 96
@aquilinabiseko2398 · 2 months ago · pinned
Nahitaji kuwekeza kwenye hisa ila cjui nianzie wap msaada tafadhali
6
@TitusMpemba · 3 days ago
Interview imetawaliwa sana na Kiingereza, hasa kwa upande wa mtangazaji. Jitahidi kutumia Kiswahili ili watu wasiojua Kiingereza wanufaike zaidi.
2
@sephonesospeter3900 · 2 months ago
Kazi nzuri ndugu host, Victor; naomba nikushauri tumia kiswahili kuuliza maswali yako; kwenya Audience analysis lazima ujue targeted audience wako ni wapi. Acha show off, kipindi chako ni informative na kwa ajili ya kusaidia just lay people; DON'T SOUND SO DEEP, CREATE UNDERSTANDING; BE SIMPLE. Jifunze kwa mgeni wako, kadri unavyomuuliza Kiingereza yeye anarudi kwenye Kiswahili. KAMA UNA TAMANI KIINGEREZA NAKUSHAURI UANZISHE PLATFORM YA KIINGEREZA. Thank you brother
24
@philipomasanja2765 · 1 month ago
Interview n nzuri shida tu matumizi ya kiingerrza si sawa maana wanasikiliza na kutazama watu wengi wa makundi tofauti lugha tofauti si kila mtu anafahamu kiingereza kuna wengine ni wanaongea lugha zingine kama kiswahili, kifaranza, kireno, n.k na wengine ni watanzania kama mm kiingereza wengi si lugha yetu na wengi hatujasoma lugha
4
@joyceKingu · 3 days ago
Mtangazaji ni vizuri ujue audiance au wanaokuzikiliza ni nani. Je lugha watakaoilewa wengi ni ipi. Ningeshauri utumie kiswahili lakini utafsiri maneno ambayo ya kiingereza utakayolazimika kutumia uyatafsiri.
@lilianchambulikazi2364 · 5 days ago
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
1
@jimmylaizer5638 · 1 month ago
Jitahidi uonge kiswahili busara
3
@joshuangazi · 1 month ago
Kazi Yenu ni njema sana vitabu vya mzee Busara vime nifungua mno mno
1
@JacklineErnest-n1t · 2 months ago
VERY POWERFUL🥰💯
1
@salimbaasba6159 · 1 month ago
Asante sana kwa hichi kipindi, jaribu kutotanganisha lugha yaani zungumza kwa lugha mmoja badala ya mchanganyiko
@AnnaHezron-v2d · 1 month ago
Goodmorning Thank you 😊
@mohamedngota8535 · 2 months ago
Sir victor busara, keep giving us energy, huu utakuja kua ushuhuda kwangu in next 10 yrs
1
Up next

SAFARI YA UWEKEZAJI YA EDMUND MUNYAGI | CHANGAMOTO | MAFANIKIO |
Exodus Advisory · 3.6K views

Uwekezaji Katika Hisa-Abbas Kimvuli
Personal Finance Hub · 25K views

Lets talk Finance: Nguvu Ya Mpenzi katika Mafanikio kwenye Uwekezaji
VICTOR BUSARA · 11K views

BIASHARA AU UWEKEZAJI? Kipi Kinafaa Zaidi kwa Diaspora? | Finance Talk – 15.10.2026
Mtaji Academy · 7K views

Money Lessons at 80 || Joe Gichuru
Dr. King'ori (Felixe JaSiaya) · 436K views

SAFARI YANGU YA UWEKEZAJI (NMB) | EMILIAN BUSARA (CPA,MBA)
VICTOR BUSARA · 21K views

Kipi Bora Mayai Mengi Vikapu Vingi Au Mayai Mengi Vikapu Vichache? | CPA Busara
SCCULT Online TV · 35K views

Jifunze kuwa mwekezaji katika hisa? Nini ufanye ili kuwekeza kwa muendelezo?#fixyou na Abbas Kimvuli
Irene kamugisha · 20K views

UWEKEZAJI VS BIASHARA: KIPI KINALIPA ZAIDI? | DEBATE
Orbit Securities · 42K views

KABLA YA KUNUNUA HISA ZINGATIA MAMBO HAYA, FAHAMU JINSI YA KUWEKEZA KWENYE MASOKO YA MITAJI
Millard Ayo · 108K views

Sura ya HIV Kabla ya Maadhimisho: "Alijua niko na HIV na akanioa hivyo" | Gumzo La Sato
NTV Kenya · 11K views

Episode 130: Dr. Maxwell Okoth on building RFH
Phil Director · 13K views

Unaweza Kuwa na Mabilioni na Bado Usiwe Tajiri! | Engineer Kabenda
SCCULT Online TV and Eng Kabenda Balete · 60K views

Safari Yangu Ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | FULL MASTERCLASS
Let's Impact Millions Podcast · 327K views

Edmund Munyagi; HISA ni UTAJIRI wako wa kesho!
Dream Aid Studios · 12K views

MILLARD AYO: HII NDIO STORY AMBAYO HUJAWAHI KUISIKIA!
Dozen Selection · 263K views

“Maisha Siyo Nyumba!” — Engineer Kabenda
SCCULT Online TV and Eng Kabenda Balete · 91K views

JESHI LA POLISI LIVUNJWE, NI JESHI LA KIKOLONI | WAKILI PETER MADELEKA | M&S PODCAST
M&S PODCAST · 95K views

SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO
MSASA PODCAST · 19K views

Safari ya Maisha, Kuajiriwa mpaka Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS
Let's Impact Millions Podcast · 772K views