Msajili wa Vyama, Wadau Wachuana Vikali Kuhusu Nini Tufanye Kuelekea Maridhiano na Katiba Mpya
53K views · Sep 15, 2026 · News & Politics
Comments · 88
@BATHROMEOKAJUKA · 1 month ago
Ubarikiwe mwabukusi kwa hoja nzuri sana ambazo si za unafiki
8
@maureen7446 · 2 months ago
We're dada Wa ACT usituchanganye ndio maana wananchi tunawaelewa. CHADEMA na ndio chama kinachoongelewa . Tumechoka na utapeli …hamna siasa safi .
3
@King_Of_Everything · 2 months ago
Stronger Together.✌️
8
@EliamsiKundi-i2f · 3 weeks ago
Asanteni sana huu mjadala umenifundisha me gi sana na utawala bora kwa hiyo nimefurahi sana.
@v-k9sdogtrainingtanzania322 · 2 months ago
Host.

Kongore kwa wakili mwambugusi,
Kongore kwa Padre Kitima,
Pongezi kwa meza kuu, pongezi kwa huduma hii...we walk on it Tanzania yetu sote
1
@babnaasmart2556 · 2 months ago
Ukweli haki uwajibikaji✊🙏
6
@hamisikiimbi2337 · 2 months ago
Huyo Nyerere unayemsemea tulilkwa tunapiga kura kwa ndiyo au hapana sasa alikuwa anapimwaje ? Tuache unafiki tangu Uhuru hatujawahi kuwa na demokrasia.
6
@rafuoklance-c4o6k · 2 months ago
Rasimu ya Waryoba is everything, the more we wait the more our resources are being sold. Hatuwezi kungojea kumaliza kesi zote za kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa 25/10/2025. Kesi mauji ya kimbari za Rwanda bado zinaendelea
2
@v-k9sdogtrainingtanzania322 · 2 months ago
Ooh wow that's awesome nakuita bibi kwa heshima@host

NaTamani sana niwe sehemu ya mijadala huu
@omaryramadhan4355 · 2 months ago
Tatizo hii nchi haitaki kuambiwa ukweli wao kama hawaon wana makosa waweke mdahalo pale uwanja wa uhuru wawaite watu wawe huru kuzungumza uone watu wana mengi sana moyoni hii nchi imekuwa ya kibabe
2
@danteanton8411 · 2 months ago
asante dada estar kwa ukeri wako pamoja na kumzungu mzia mama frenk
@DetailsTanzania-pr4vs · 2 months ago
Upande wakwanza ( CCM ) uone umuhimu wa mazungumzo na upande wa pili ( CHADEMA ) Uwezeshwe kuzungumza
2
Up next

HECHE ATANGAZA MSIMAMO MZITO KUHUSU MARIDHIANO, CHADEMA WATAKA MPATANISHI, LISSU NA WENGINE WAACHIWE
Mwanzo TV Plus · 17K views

CHADEMA Yatoa Msimamo Kuhusu Maridhiano: Wagusia Suala la Lissu, Kesi Wanazoendelea Kupewa Viongozi
The Chanzo · 1.6K views

Kivulini Talks: Mwaka Mmoja Toka Oktoba 29—"Bado Kuna Deni la Ukweli"
The Chanzo · 39K views

HECHE LASHES OUT FIERCELY WHILE RESPONDING TO REPORTERS, CAUSING A SCENE, DEMANDS LISSU BE RELEAS...
Mwanzo TV Plus · 5.9K views

🔴#LIVE: INTENSE CLASH BETWEEN LAWYERS KILATU AND NATHANIEL OVER LISSU'S VERDICT
JAMBO TV · 86K views

"KATIKATI YA MARIDHIANO CHADEMA WANAINGIAJE?" - JAJI MANYOTA AFUNGUKA MAKUBWA...
Global TV Online · 1.6K views

🔴LIVE:LHRC YAWABURUZA MAHAKAMANI IGP na KATAMBI kwa Kuvunja Sheria
MwanaHALISI TV · 68K views

JESHI LA POLISI LIVUNJWE, NI JESHI LA KIKOLONI | WAKILI PETER MADELEKA | M&S PODCAST
M&S PODCAST · 96K views

WAKE UP WITH BBC KISWAHILI TODAY SATURDAY 11/21/2026
mkatavi tv · 50K views

RECONCILIATION SAGA: CHADEMA RESPONDS, HECHE SPEAKS OUT, "WE RECEIVED IT WITH CONCERN"
JAMBO TV · 5.1K views

#LIVE | John Heche Azungumza Muda Huu, Atoa Kauli Nzito kuhusu Hali ya Siasa Nchini
The Chanzo · 2.8K views

Mjadala Mkali Kuhusu Hali ya Kidemokrasia Tuliyonayo Tanzania na Tunatokaje, Mwabukusi Atoa Mazito
The Chanzo · 135K views

Nyanduga: 'Kuna Dalili Utawala wa Mabavu Unaanza Kuingia Nchini Mwetu, Tunapuuza Utawala wa Sheria'
The Chanzo · 58K views

'Nani anaimiliki Tanzania?' Mjadala Mkali Kuhusu Hatma Ya Demokrasia na Katiba Mpya Tanzania
The Chanzo · 418K views

Aprili 14, 2014 Mhe. Tundu Lissu aliwasilisha maoni kuhusu Muungano katika Bunge Maalum la Katiba.
CHADEMA MEDIA TV · 100K views

WAKILI MADELEKA “POLISI KUKAMATA VIONGOZI WA UPINZANI NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI WAJITAFAKARI
KUSAGA TV · 180K views

🔴#LIVE PADRI KITIMA, MWABUKUSI, SHEKHE PONDA NA VIGOGO WENGINE WAMEKUTANA NA KUJADILI MUDA HUU...
JAMBO TV · 67K views

Wadau Walivyofunguka Mazito Wakimzika Kaka Yake Lissu, Mzee Alute Mughwai: Heche Atoa ya Moyoni
The Chanzo · 22K views

Mwanzo-Mwisho CHADEMA Wafunguka Baada ya Lissu Kuhukumiwa Miaka Minne
The Chanzo · 97K views

War die Rally nur ein technischer Bounce?
Markus Koch | Wall Street · 11K views