Nyanduga: 'Kuna Dalili Utawala wa Mabavu Unaanza Kuingia Nchini Mwetu, Tunapuuza Utawala wa Sheria'
59K views · Sep 15, 2026 · News & Politics
Comments · 111
@TVSHOWSCENES-y5m · 2 months ago
Kuna dalili za mvua when mvua inanyesha tayari? Au kuna dalili ya mimba when mwanamke mimba ina miezi nane tayari? Yale mauaji ya mwaka jana hujayaona kwamba tunatawaliwa na mabavu?
17
@plujoncylugano4611 · 2 months ago
Aaaah!!<br>Nakuelewa sana Kwa somo hili muhimu mno Kwa Taifa,elimu hii unawasilisha Kwa utulivu upendo Kwa Taifa,viongozi sikilizeni na kupokea ushauri huu muhimu Kwa Tanganyika ,tafadhali msizibe masikio ushauri huu ni muhimu mno wenye kuiponya nchi yetu.Ahsante sana Mzalendo Kwa uwasilishaji mzr na wenye utulivu sana,hongera sana
2
@mtaitamchome7475 · 2 months ago
Mtazunguka sana, lakini tatizo ni MASISIEMU hayataki mabadiliko ya mifumo na uendeshaji wa Nchi yetu kwa kuandika KATIBA MPYA ili kuleta HAKI na USAWA kwa Watu wote mbele za Sheria.
6
@45october29 · 2 months ago
Hata Mungu mwenyewe muumbaji anashangaa 98%. Total surprise. Mm nmemuumba mwanadamu, nikawapelekea yesu kristu mkombozi hawakumufuata asilimia 98, nikawaongezea mtume Mohamed bado asilimia zikazidi kushuka zaidi. Je tangu lini mwanadamu akamuzidi Mungu.
3
@RamaHRIzmaelov · 2 months ago
Dalili....????
15
@Yussuf-b3b · 2 months ago
Nyanduga uko vizuri kabisa hongera🎉🎉🎉🎉 unafafanua kisomi kabisa
1
@Ibrahimbulugu · 1 month ago
Wapo lakini hao watu unaowahubilia maelezo hayo Mheshimiwa maana nchi ipo gizani tena giza kikubwa ❤❤❤❤
@peterantony5890 · 2 months ago
Mungu azidi kukubariki.
10
@khalfannahayimbekwa1440 · 2 months ago
ni kweli changamoto tangu awamu tatu nahaya yasipotafitiwa usuluhishi utawa wa kibabe utakuja tena sio miaka mingi katiba isipoheshimiwa iliyopo ni tutakuwa kichwa cha mwendawazimu
4
@gerrymimi9387 · 2 months ago
Kama hivi ilivyo ndiyo changamoto inaanza, ikifika hali itakuwaje itakuwaje?
@PolycarpInyasi · 2 months ago
Watajiungaje huku hawataki kuwajibika?
2
@RamadhaniKitala-gx6wc · 2 months ago
Mbona tushafika kwenye utawala wa mabavu na kutoka hapa labda katiba mpya maana ushawa unatawala 😢
1
Up next

CHADEMA Yatoa Msimamo Kuhusu Maridhiano: Wagusia Suala la Lissu, Kesi Wanazoendelea Kupewa Viongozi
The Chanzo · 3.1K views

Christine Lagarde on the New Global Order
New York Times Events and The New York Times · 418K views

Msajili wa Vyama, Wadau Wachuana Vikali Kuhusu Nini Tufanye Kuelekea Maridhiano na Katiba Mpya
The Chanzo · 53K views

Kivulini Talks: Mwaka Mmoja Toka Oktoba 29—"Bado Kuna Deni la Ukweli"
The Chanzo · 39K views

"Sifuna's moment to be president is here, he will ONLY lose if he choses to"- Manyora
Herman Manyora · 757 views

🔴#LIVE: INTENSE CLASH BETWEEN LAWYERS KILATU AND NATHANIEL OVER LISSU'S VERDICT
JAMBO TV · 87K views

"KATIKATI YA MARIDHIANO CHADEMA WANAINGIAJE?" - JAJI MANYOTA AFUNGUKA MAKUBWA...
Global TV Online · 3.9K views

🔴LIVE:LHRC YAWABURUZA MAHAKAMANI IGP na KATAMBI kwa Kuvunja Sheria
MwanaHALISI TV · 68K views

#LIVE | John Heche Azungumza Muda Huu, Atoa Kauli Nzito kuhusu Hali ya Siasa Nchini
The Chanzo · 3.2K views

🔴#LIVE PADRI KITIMA, MWABUKUSI, SHEKHE PONDA NA VIGOGO WENGINE WAMEKUTANA NA KUJADILI MUDA HUU...
JAMBO TV · 67K views

'Ukiongea Wanakuvua Uwakili':MADELEKA Ang'aka Sakata la MWABUKUSI na Kamati ya Maadili, Lissu Atajwa
Nijuze · 59K views

Jensen Huang is now 'untouchable'
LBC and LBC America · 2.1K views

HEATED EXCHANGE in Senate! Opposition,Gachagua Allies FIST Rutomen amid Sifuna absence over USA tour
Kenya Newsline · 6.4K views

'Nani anaimiliki Tanzania?' Mjadala Mkali Kuhusu Hatma Ya Demokrasia na Katiba Mpya Tanzania
The Chanzo · 418K views

🔴 LIVE | Siku ya Demokrasia, LHRC na Wadau Wanajadili Kuhusu DEMOKRASIA na KATIBA MPYA Tanzania
OFFTRACK TV · 34K views

Hoja ya Wapatanishi wa Nje Kwenye Maridhiano Yawagawa Wadau, Wengine Wanasema Ndio, Wengine Hapana?
The Chanzo · 69K views

LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA
Millard Ayo · 86K views

Nvidia shares tumble as Jensen Huang return causes backlash
Channel 4 News · 400 views

NYUMA YA MALEZI YA PETER MSIGWA - TUKUSWIGA PODCAST
Makutano TV · 12K views

Mjadala Mkali Kuhusu Hali ya Kidemokrasia Tuliyonayo Tanzania na Tunatokaje, Mwabukusi Atoa Mazito
The Chanzo · 135K views