Ads skipped

BWANA HARUSI AFARIKI SIKU 5 KABLA ya NDOA - BIBI HARUSI AVAA SHELA AKISHUHUDIA MWILI wa MPENZI WAKE

82K views · Aug 12, 2024 · News & Politics

Comments · 313

  • @globaltv_online · 2 years ago · pinned

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV <a href="https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7">https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7</a>

    7

  • @neemareuben311 · 2 years ago

    😢😢😢😢huyu kaka wa biharusi unaweza kuona kama Ana furahi ila hapana kwenye ilo tabasabu lake lini maumivu makubwa sana mno ogopa sana watu wa ivyoo wenye tabasamu wakati wa maumivu ogopa sn 😢😢😢😢😢polen jmn

    20

  • @lizzynkifu4179 · 2 years ago

    Hii Taasisi ya ndoa ni ya kuombea sana kabla na baada ya ndoa

    24

  • @romanambelle6356 · 2 years ago

    Heri mlojua mipango ya Mungu si ya mwanadamu ishikeni imani. &nbsp;Mungu awavushe salama

    12

  • @Chakol123-k7s · 2 years ago

    Mungu mkali sana 😢😢 bi harusi ana uchungu sio wa kawaida 😢😢

    13

  • @annettemalechela7543 · 2 years ago

    Ulimwengu wa roho ni mpana sana, maana mnaweza fikiri mnaoana watu wawili lakini bila kujua kuna mabibi na mababu ambao usipopokea uponyaji kabla ya harusi kuwakatilia mbali ktk jina la Yesu ndoa itakuwa ndoana tunahitaji kukombolewa na damu ya Yesu Kristo

    3

  • @rukiyamohammed2945 · 2 years ago

    Cc sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Poleni sana familia kwa msiba mzito ,kazi ya mungu haina makosa

    3

  • @hawamafumbi7513 · 2 years ago

    IPO Siri kubwa!,cc watumishi wa MUNGU tunafikilia zaid.Hatupokei kila jàmbo.ila vyote vitafumulowa cku Ile.Amina

    5

  • @ReginaMsoka-pj4jc · 2 years ago

    Ee Mungu wa mbinguni naomba umpe nguvu na &nbsp;ujasiri huyu bi harusi, maana neno lako linasema wewe ni mume wa wajane🙏🙏

    42

  • @MariamuJuma-t8z · 1 year ago

    namabwanaharusi wanakufa jaman baada ya harusi au kabla ya harusi shidaninini jamn au wanawaterekeza walosotanao wakifanikiwa ndo wanatfta wengine maana hawawanaumenao mmh MUNGU atusaidie tu mwanamke mwingine unakutaanalia chozilakelinakufata ndoyanatokeaaya mtashika wachawi

    4

  • @angonzamujunangoma8775 · 2 years ago

    Mungu utabaki kuwa Mungu siku zote😢😢

    7

  • @HanifaOman-oo4pl · 2 years ago

    Inalillahi wainailahi rajuun. &nbsp; &nbsp;Kufo hakina huruma. &nbsp;Kikubwa tufanye mema na tuombe saana mwisho mwema Duniani mapitotuu. &nbsp; Poleni wafiwa mungu awape subra

    4

Up next

LIVE

HECHE ATANGAZA MSIMAMO MZITO KUHUSU MARIDHIANO, CHADEMA WATAKA MPATANISHI, LISSU NA WENGINE WAACHIWE

Mwanzo TV Plus · 20K views

LIVE

MTOTO ASIMULIA ALIVYOONA MAMA YAKE Akiuawa KINYAMA; "NILIMUONA MAMA ANAKIMBIA HUKU AKIPIGA YOWE”

Global TV Online · 308K views

LIVE

HECHE AIPIGA MKWARA CCM KUHUSU MARIDHIANO -"NI KUJIDANGANYA - BILA LISSU HAKUNA MAZUNGUMZO"

Global TV Online · 221 views

LIVE

"KATIKATI YA MARIDHIANO CHADEMA WANAINGIAJE?" - JAJI MANYOTA AFUNGUKA MAKUBWA...

Global TV Online · 2.2K views

LIVE

The most dangerous prisons in the world

Investigation · 40M views

LIVE

Wake za Marehemu Wafichua Mazito, Kifo cha Mmiliki wa Super Sami

Global TV Online · 294K views

LIVE

KUTOKA OMAN: NDANI ya MGAHAWA UNAOPIKA VYAKULA VYA KITANZANIA - PWEZA - KONGORO - UGALI WA MUHOGO...

Global TV Online · 16K views

LIVE

INATISHA: WANANDOA WAVAMIWA-WAPORWA MTOTO MIEZI 7 na GARI-WATUMBUKIZWA KWENYE MASHIMO ya VYOO KIBAHA

Global TV Online · 785K views

LIVE

MAZITO YAIBUKA.. UGONJWA WA HAWA

Niteteetv · 469K views

LIVE

WANAFUNZI WATATU WALIOFARIKI WALIKUWA WANNE WANATEMBEA PAMOJA MMOJA YEYE ALIPANDA PIKIPIKI

KUSAGA TV · 60K views

LIVE

BINTI WA MIAKA 20 KUOLEWA NA MWANAMKE MWENZIE IMEMSHANGAZA DR FLORA

Nitetee TV · 276K views

LIVE

🔴#Live: WAZIRI KITILA MKUMBO ABANANISHWA MASWALI MAZITO KUTOKA kwa WAHARIRI wa VYOMBO vya HABARI...

Global TV Online · 7K views

LIVE

''Babu Owino Is Not In Linda Mwananchi Movement'' - George Natembeya

Hot 96 FM · 164K views

LIVE

#EXCLUSIVE: KIJANA ALIYEFUNGA NDOA HOSPITALINI AFUNGUKA, AJALI SIKU YA HARUSI "NILIONA KAMA MKOSI"

Wasafi Media · 778K views

LIVE

🔴#Live: NABII ALIYEMKOPA DADAPOA APEWA SAA 72 KUHAMA /VIJANA 5 WALIOPOTEA KKOO 2021 BADO GIZA NENE..

Global TV Online · 4.1K views

LIVE

Schurken-Gipfel in China | Drama-Queen Merz | Kampf um die AfD | heute-show vom 20.11.2026

ZDF heute-show · 2M views

LIVE

MACHOZI YA FURAHA KWENYE STAGE | MR. RIGHT KAPATA CHOMBO | PESA ZIMEONGEA !!!

BONGOMAX TZ · 1.9M views

LIVE

23 November 2026

IBRAHIM RAHBY · 36K views

LIVE

MTOTO AMKATAA MAMA YAKE AKIHOFIA ATAWAKIMBIA TENA/TULIISHI MITAANI

Nitetee TV · 381K views

LIVE

#LIVE:(WSPORTS); ALIKAMWE AFUNGUKA SABABU KUONDOKA YANGASC ..

Top Plus TV · 7 views

YouTube, with the door locked.

Aegis plays a clean stream instead of YouTube's player, so pre-roll ads, trackers, and fingerprinting never ride along. Drop Shields any time if you want the official player back.