MAZITO YAIBUKA.. UGONJWA WA HAWA
469K views · Mar 23, 2023 · Entertainment
Comments · 1.5K
@ruqaiyiddy5534 · 1 year ago
Tuliokuja tena Kuangalia hiii stori ya Huzuni iliyomkuta Bi mzuri wetu Hawaaah😢 Tujuane hapa na kwapamoja Tuseme Inallilah Wainairah Rajuun💔
108
@witnessroby1223 · 3 years ago
BINADAMU HATUNA UTU KABISA.ILA UBAYA UNA MWISHO.MUNGU NDIYE MWENYE KAULI YA MWISHO,AMINI TU🙏
43
@magdalenajoel4409 · 3 years ago
Siku zote Mtu akiteseka lazima mungu asimame kumtetea huyu binti🙏
33
@ayshamzee9173 · 3 years ago
Soma weka Quran kila muda na dua kusoma kila time taja majina ya Mwezimung Subhana Wallah 😭😭
82
@LindaMbilinyi-n3n · 1 year ago
Tuliorud hapa baada ya dada hawa kufarik tujuane😢😢😢😢😢😢,,hyu dada kateseka sana jmn dah moyo unaniuma,km ni mwanadamu kafanya hya MUNGU atamlipa hapahapa😭😭😭😭
30
@lulunationfoundation3032 · 3 years ago
Jamani Mungu nisamehe pale nilipolalamika 😭😭😭Mungu hujawahi shindwa ingilia kati 🙏
7
@veredianamagesa3163 · 3 years ago
Mungu wetu wa Mbinguni tunaomba umponyee huyu mwanao ameteseka sana jamani baba yetu wa mbinguni tunakuomba🙏🙏, nimeuumia sanaa
68
@abbashussein-hz4dr · 3 years ago
Hapo kuna ushirikina mkubwa sana kuna ktu kafanyiwa tna uchawi mkubwa mno hata km mtu amekukosea huwez mfanyia hvo malipo ni hapa hapa mungu atamuumbua tu kila lenye mwanzo halikosi mwisho ipo cku kwa mungu hakuna kubwa In Shaa Allah☝️
36
@gradnessshitindi3694 · 3 years ago
Kama alitembea na mme wa mtu, kama alikula vya watu, kama alitukana, kama alikukufuru ee Muumba wake, We Mungu Muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo akiwemo Hawa msamehe baba wa mbinguni, it's more than pain😭😭😭 jaman msamehen Hawa Bado tunampenda😔😔🙌🏾
205
@zedagrifarm · 3 years ago
Part 2 jaman

Ila kuna kitu nataka niishauri hii familia kwanza kabisa anaewachezea yupo karibu yao na bora wamemfaham ila hao wanao wafahamu wanamtumia mtu ambae familia ya hawa hawamzanii wawe makini na kila aliyopo karib na hawa.
Pia wajue kua uchawi ni hofu mdo maana kunausemi usemao "mpe mchawi akulelee mwanao"
Narudia uchawi ni hofu ndo maana wachawi wanakuletea ndoto zao za kutisha ili wakupe hofu ukiwa na hofu uchawi ndo unafanya kazi hii na experience nayo vizur tu
Pia akiota ndoto yoyote asiseme kumwambia yeyote ndoto mbaya haisemwi kamwe na kila anaemuotea ndoto yeyote asimwambie
Cha msingi aamini Mungu yupo na anamuona asichoke kumuomba pale anapojisikisia vibaya asiache kusema La ilaha illallah tena asimame huku anatembea kama ni chumban azunguke chumba anapotamka hivyo la ilaha illallah awe kama anakemea kwa kusema hilo neno tu hadi pale atapoona uzito umepungua au msisimko umepotea au kitu fulan kimemuachia
Nasisitiza ajiombeeee mwenyewe tena asimame wima azunguke atambe na neno moja tu la la ilaha ilallah ataona maajab ambayo hakutegemea.atapoanza jisikia vibaya asikae kinyonge muite Mungu wako kwa jina lake hilo moja hakika atakusikia.Binafsi hii kitu imenitibu mnooooooo
199
@Peace-x6s · 1 year ago
Nimejikuta Niko hapa ijumaa ya leo😢 Mwenyezi Mungu mjaalie pumziko la amani 🤲🙏Amina
11
@queenmushi6641 · 3 years ago
Binadam wanajua kutesa watu jamani
Mungu wa Mbinguni amponye sana
9
Up next

MATESO YA HAWA. part 2
Niteteetv · 131K views

I WISH I HAD MARRIED A POOR MAN! The Cry of a WIFE Who Chased MONEY Without Knowing Her Husband's...
Tiki Tv · 21K views

MREMBO ALIYEISHI NA MWANAUME JAMBAZI BILA KUJUA AFUNGUKA ALIVYOFUNGWA JELA!ALINIAMBIA YEYE NIUSALAMA
Perfect Bongo Tv · 25K views

HILI LIMEMTISHA FLORA / UNACHUKUA WATOTO WANGU UTANIKUTA MWANZA KABLA YAKO, NAPITA HEWANI
Nitetee TV · 179K views

TOBA KWA AJILI YA ARIDHI YA GAMBUSHI.
MTOTO WA KIUME TV · 138 views

HISTORIA YA BI: MARYAM MAMA YAKE YESU || YESU KAZALIWA BEACH MAENEO HAYA || ALHAJJ DR. SULLE
MASJID MTORO ONLINE TV · 852K views

Nimeumwa Miaka 8 | Nimefanyiwa Operation Mara 23 | Nilikuwa Natembea Natoka Funza Tumboni
CLOUDSMEDIA · 265K views

BINTI WA MIAKA 20 KUOLEWA NA MWANAMKE MWENZIE IMEMSHANGAZA DR FLORA
Nitetee TV · 277K views

Huu ndio ujanja wanaotumia waganga na wapiga ramli kuongopea watu - Jafar Abdul Rahman
Kalamutz · 164K views

AKATAA ZAWADI YA GARI KUTOKA KWA MAMA YAKE MZAZI SABABU ALIMTELEKEZA
KIREDIO · 518K views

Nyumba iliyo vunja ndoa na kukosa amani
Tales Tea Room-254 · 10K views

Restaurant Owner Hosed a Homeless Man Sleeping Out Back — Not Knowing He Just Bought Her Building
Soren Speaks · 3.3M views

LIVE CALL FROM INDIA: WHAT HAPPENED 5 MINUTES BEFORE CARINA DIED - ''SHE CHANGED COLOR''
Global TV Online · 170K views

ANAPOISHI MCHEKESHAJI SHAFII BRAND / GHOROFA NYUMA MBELE YA KAWAIDA/ NA VYOO VITATU VYUMBA VIWILI
Zamaradi TV · 100K views

EYEWITNESS TO CARINA'S DEATH IN INDIA SPEAKS OUT - CARINA'S HEARTBREAKING FINAL WORDS BEFORE SHE ...
Global TV Online · 241K views

SINTOFAHAMU KUBWA!! HATIMAYE BABA WA MTOTO AKIRI KUMKANA MTOTO! "NAOMBA RADHII.."
Nitetee TV · 263K views

TIBA YA MAMA (FULL MOVIE) #mwinyimkuu #mkobawabibi
CHILLY MWINYI MKUU · 108K views

سورة البقرة كاملة عبد الرحمن السديس لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه Sourah Baqara Al Sudais
قناة القرآن الكريم _ Quran channel · 204K views

DADA WA KAZI ZA NDANI OMANI AFUNGUKA KWA UCHUNGU NILIJUTA KUIFAHAMU OMAN NILILIA HADI NIKAZIMIA ILA
Maks Media · 68K views

IFUNGURWA RYA SMILE AGAIN FOUNDATION ☺️ KWIYANDIKISHA KWIGA KUBUNTU BYATANGIYE
SMILE AGAIN TV · 171 views