“Maisha Siyo Nyumba!” — Engineer Kabenda
92K views · Sep 6, 2026 · Education
Comments · 264
@sccultonlinetv · 2 months ago · pinned
Mtu akifikisha miaka 35 bila kujenga nyumba, je, amefeli maisha au bado ana muda wa kujenga kama ana mpango sahihi?
18
@derickkahabwa3391 · 2 months ago
Injinia kanena vema sana. Ila ushauri kama huu haumfai mtu ambaye Hana akili ya biashara au uwekezaji na Wala Hana mpango wa kufanya hivyo kabisa. Mtu wa namna hii ni Bora akope ajenge tu hata kama atatumia miaka 20. Angalau Atakuwa kwake, ikitokea Hana kapoteza kazi angalau familia Ina pa kulala. Lakini pia gharama za ujenzi zinapanda Kwa Kasi kubwa sana. Hata ukisema usijenge uwekeze kwenye hisa au hatifungani, faida unayopata ni ndogo kuliko ongezeko la gharama za ujenzi. Ushauri mzuri ni mtu apange nyumba ya bei rahisi, anunue kiwanja aanze kujenga akiezeka ahamie amalize taratibu.
25
@SamwelBathoromew · 2 months ago
Ukisikiliza wasomi utashindwa kufanya mipango yako mana anakwenda mbele mara nyuma mimi najua mungu ametuweka kwenye hi dunia hatuwezi kuwa sawa tajiri yupo mtu wakati yupo masikini wapo kwisha.
9
@lucasmsuka8252 · 1 month ago
Wafanya biashara wengi hupanga kwanza na baadae kujenga baada ya biashara kukuwa.<br>Waajiliwa wengi hujenga kwanza nyumba na Kisha kuendelea kulipa madeni na kula maisha.<br>Nyumba kuwa nayo au isubilie ni maamuzi yako ww.
3
@joyceKingu · 6 days ago
Shida watu wengine hujenga kwa makusudi ya sifa...you donot need mansion. Thts a libility
1
@alwaziirahmad2682 · 2 months ago
Mada ni nzuri ila mme focus zaidi kwa watumishi ambao ni asilimia ndogo sana ya raia,Engineer siku nyingine nenda kwenye maisha halisi ya hustlers ambao ni wengi.Nikirudi kwenye mada kujenga kabla ya 35yrs ni jambo zuri sana,tomorrow is not promised,sisi ambao hatuna kipato maalumu huwa tunajichanga baada ya miezi mitatu kilichokusanywa 50% unawekeza 50% unajenga,baada ya miaka 5-8 unaweza kuwa umekuza mtaji at the same time umejenga,that's my opinion
3
@mamudi5144 · 2 months ago
Asante sana from KIGALI RWANDA
1
@Simple_sudoku · 1 month ago
Wow this man is smart nimefaidi❤ Shukran
@silasnghabi8863 · 1 month ago
What make sense, 1. nchi iwe na affordable social housing kama enzi za Mwalimu. 2. Pensioners wajengee nyumba wachangiaji ili kikokotoo kitumike vizuri. No social housing schemes, Halafu unaambia watu wasijenge!
1
@MaimunaNdune · 2 months ago
Umesaidia sana kuhusu kujenga na kukodi hpo umenichanua.Mungu akubariki sana.
1
@BONIYI · 2 months ago
Yes!!! incredible!
@MS-wl6lw · 2 months ago
Very true!
Up next

Unaweza Kuwa na Mabilioni na Bado Usiwe Tajiri! | Engineer Kabenda
SCCULT Online TV and Eng Kabenda Balete · 60K views

UTAJIRI HAULETWI NA ELIMU? Eng. Kabenda Aeleza Ukweli!
SCCULT Online TV and Eng Kabenda Balete · 60K views

UWEKEZAJI VS BIASHARA: KIPI KINALIPA ZAIDI? | DEBATE
Orbit Securities · 43K views

5 PILLARS TO SCALE YOUR BUSINESS FROM SUBSISTENCE TO A GROWTH SYSTEM💰 ~ Eng. Kabenda Balete
Hub of Wisdom Inc. · 25K views

MENTAL HEALTH VS AI (AFYA YA AKILI) @wcf_tz Cc: Dk. KWEKA
Pride TZ · 1.6K views

PART 1; MTAZANIA MSOMI ZAIDI/HILI NDILO KABURI LANGU/NIMEIMBA NA MKE WA KIKWETE
Dar24 Media · 218K views

UKIPATA HELA USIJENGE NYUMBA
Msiri Na Wana The Podcast · 84K views

Una Milioni 40 Usijenge Nyumba Kabla ya Kujua Hili!
SCCULT Online TV · 20K views

How to Make Your First KSh 1,000,000 | Ndindi Nyoro's Powerful Advice
Ndindi Nyoro Today · 153K views

MILLARD AYO: HII NDIO STORY AMBAYO HUJAWAHI KUISIKIA!
Dozen Selection · 264K views

LiveNaGee: JINSI YA KUJENGA KUJIELEWA NA KUJIELEZA | MWL.COSMAS MADULU
madinidotcom · 58K views

UWEZO WA AKILI YAKO HAUZUILIKI UKIAMUA | MR MANGAPI
Hamasika Tv · 14K views

THE BITTER TRUTH ABOUT SUCCESS THAT WILL CHANGE YOUR LIFE | COSMAS MADULU
Hamasika Tv · 135K views

Jifunze Kusimamia Hata Shilingi 100: Siri ya Utajiri na Ufanisi wa Biashara
SCCULT Online TV · 11K views

PENSHENI HAITOSHI! 😳 Jenga Vyanzo 5 vya Mapato Kabla ya Kustaafu - CPA Urassa
SCCULT Online TV · 40K views

Masoud Kipanya: “HATUWEZI KUSEMA, TUTATEKWA” PESA HAKUNA, Media INAOGOPA, Tanzania TUNAKWAMA WAPI?
Blessed Tillah · 104K views

The Intelligence you Need to be Successful || Lessons at 30 with Dr. Ofueneke ||
Benard ODOTE | The Thinking Rhino 🦏 · 44K views

FANYA KAZI KWA UAMINIFU // USIJALI WATU WANASEMAJE? - Cosmas Madulu.
Wisdom Vault · 49K views

DOMINICK MMASI: NILIANZA BIASHARA NIKIWA NA MILIONI 230, SIKUNUNUA GARI KWA PESA YA KUAJIRIWA'
Millard Ayo · 87K views

HAKUNA UKWELI MWINGINE UTAKAOKUPA MAJIBU YA USTAWI WA MAISHA YAKO ZAIDI YA HUU ANAOKUPA Mwl. Madulu
Hub of Wisdom Inc. · 44K views