Live: Uchambuzi Hali ya Siasa na Wadau wa Utawala Bora: Waibua Masuala Mazito
16K views · Oct 29, 2026 · News & Politics
Comments · 15
@WiselightOfficial · 3 weeks ago
Mungu aiponye Tanzania
3
@Lily-g8z · 3 weeks ago
Mungu awalinde. Mnahoja zenye Tija sana
1
@DeogratiusHamis · 3 weeks ago
Jamani wachambuzi wetu hawa wazalendo daaaaaah hongereni sana
2
@MichaelMuhochi · 3 weeks ago
Glad you vp😊😊
@photypeter7919 · 3 weeks ago
The Chanzo is Undisputed
1
@GidionJeremia-b8o · 3 weeks ago
Watekaji wote na walio ua ndugu zetu hawawezi kua salama daima milele Yao yote😭😭
1
@dismasdaniel292 · 3 weeks ago
Hawa ndio wawakilishi wetu sisi wananchi kwnywe hili tunahitaji haki, ukweli na uwajibikaji hatuwezi Mzee Bubelwa, Mzee Lwaitama na Mama rosemary Mwakitange mnatuwakilisha vizuri sana sisi wananchi kwenye hili tupo nyuma yenu.
1
@allyfutto8763 · 3 weeks ago
Kunafaida gani kuwazuwia CCM wadiseme wanamiriki kilakitu ilihali kivitendo wanamiriki tanzania yote kama sio kujipumbaza ni nini??? 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@MichaelMuhochi · 3 weeks ago
Huu ji
1
@malkavoice2570 · 3 weeks ago
Dunia imechafuka ila Tanzania imezidi,hata hawa wazee wanapuuzwa?!
@rasnchimbi · 3 weeks ago
Chanzo kikuu kinachosababisha chuki na hasama zote ni "UCHAGUZI MKUU WA NCHI USIYO HURU/HAKI"<br>Wasababishi wa yote ni wale wanaokataa reforms, ili kuwepo na uchaguzi huru na haki.<br>Muafaka pekee kwa Taifa ni <a href="https://www.youtube.com/hashtag/katibampyanisasa">#KATIBAMPYANISASA</a>!, Mengine yote ni porojo✍️🏿!
@bakermusa9033 · 3 weeks ago
Wazee wetu hawaamini kama nchi chini ya huu utawala imefikia the point of no return. Makatili wamekiwa makatili , majizi ndo kabisa yameshupaza shingo
Up next

#LIVE | John Heche Azungumza Muda Huu, Atoa Kauli Nzito kuhusu Hali ya Siasa Nchini
The Chanzo · 3.7K views

CHADEMA Yatoa Msimamo Kuhusu Maridhiano: Wagusia Suala la Lissu, Kesi Wanazoendelea Kupewa Viongozi
The Chanzo · 5.8K views

Kivulini Talks: Dunia Pasua Kichwa na Hali ya Sasa ya Tanzania, Tutatoboa?
The Chanzo · 7.1K views

Msajili wa Vyama, Wadau Wachuana Vikali Kuhusu Nini Tufanye Kuelekea Maridhiano na Katiba Mpya
The Chanzo · 53K views

#LIVE | Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Azungumza na Wananchi wa Mchombe-Mlimba
The Chanzo · 31 views

Kivulini Talks: Mwaka Mmoja Toka Oktoba 29—"Bado Kuna Deni la Ukweli"
The Chanzo · 39K views

Mke wa Dr Remmy Ongala aeleza mumewe alivyougua hadi kifo chake 'Aliugua kwa miaka 10' - Part 2
Simulizi Na Sauti · 198K views

Alute Mughwai Lissu: Historia ya Maisha, Sakata la Tundu Lissu na Matumaini ya Ujenzi wa Taifa Bora
The Chanzo · 152K views

MWAKA BAADA YA VURUGU ZA OKTOBA 29,TIBAIJUKA AFUNGUKA KUWAOMBEA, "TUWEKE NAMNA YA KUWASAIDIA WAFIWA"
Millard Ayo · 28K views

Tundu Lissu kunusurika na kifungo cha miaka 4 jela mikakati ya haraka yawekwa wazi hii leo
Linconmedia · 30K views

Mwaka Mmoja Tangu Matukio ya Oktoba 29: Tafakuri ya Wakili MADELEKA Kuhusu Hali ya Haki, Uwajibikaji
Nijuze · 16K views

#LIVE | HECHE Atoa Msimamo Mkali Wa CHADEMA Kuhusu Maridhiano, Hukumu Kesi ya LISSU
Nijuze · 3.4K views

🔴#LIVE: CHAUMMA WANATAKA KUSEMA NINI? SIASA NCHINI TANZANIA ZAWAIBUA UPYA!! WANATOA TAMKO ZITTO...
JAMBO TV · 71 views

Mjadala Mkali Kuhusu Hali ya Kidemokrasia Tuliyonayo Tanzania na Tunatokaje, Mwabukusi Atoa Mazito
The Chanzo · 135K views

'Waandishi Wanajipendekeza Kupata Teuzi': Tafakuri ya SALIM SAID SALIM Kuhusu Uhuru wa Habari Nchini
Nijuze · 19K views

Leo #MariaSpaces maalum tunaendelea kujadil: Tusimame, Tuhesabiwe - #FreeTunduLissu
Mwanzo TV Plus · 26K views

The AI sector is betting scandal-hit Huang can avert an even bigger disaster | The Global Story
BBC News · 57K views

🔴#LIVE: LEMA NA CHADEMA USALAMA UPO? /MBOWE AHUSISHWA /MIKOPO YA KAUSHA DAMU SULUHISHO NINI? KAMATI
Global TV Online · 16K views

🔴#LIVE: GODBLESS LEMA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU HAPA ARUSHA....
JAMBO TV · 117K views

Leo #MariaSpaces: Kesi ya Tundu Lissu yageuza nchi kuwa uwanja wa vita - tumekubali?
Mwanzo TV Plus · 34K views