Hukumu ya Jaji Ndunguru yapigwa rungu,mawakili wagoma kukubaliana nayo dhidi ya Lissu
21K views · Nov 12, 2026 · News & Politics
Comments · 18
@denisshimela169 · 13 days ago
Huyo wakili aliye shiriki kuzulumu haki ya lisu kwa kesi ya mchongo naomba mungu ashughulike nao
11
@ElizabethSalumu-r2i9j · 13 days ago
Walipewa maelekezo Ili wamkomoe lisu wamfurahishe muuaji
9
@godfreykapaya6358 · 13 days ago
Tanzania inatakiwa tuanze upya kabisa Katiba iandikwe upya kabisa... kumbe anaweza akatokea mtu akatumaliza kabisa kwa katiba hii, hali hii ndio tunaiona sasa
3
@IssayasosoloSosolo · 12 days ago
Rostam kumbe alikuwa sahihi ktk kuwatuhu hawa majaji na namna ya mienendo yao ya kuamua hizi kesi! Wanazinajisi mahakama kama vile elimu zao walipewa kama fadhila vile!
1
@TajieliMosses-v3w · 12 days ago
Jana mwezao ametekwa wakagome wote saifi ameachiliwa na watekaji
1
@egdldm4981 · 13 days ago
kuna namna, Hii nchi inahitaji kuanza upya kabisa, Tuanze upya kwa kuandika Katiba Mpya kama kwamba nchi mpya inazalia, Tanzania kwa maana ya muungano IFE!! Zanzibar ikaanze kivyake huku Tanganyika ikizaliwa upya. <br>Tutengeneze Katiba Mpya itakayo ainisha mambo ya sasa na kwa kizazi cha sasa na sio kukopi na kupest ile Rasimu ya Warioba, Katiba pendekezwa wala katiba ya sasa ambayo kimsingi ni Katiba yenye maslahi makubwa kwa CCM na hasa wazee kama kina Kikwete Wasira na Taasisi ya urais.... <br>Tuanze Upya!! kwa kurudisha mamlaka na umiliki wa ardhi ya Tanganyika kwa watanganyika wenyewe isiwe tena chini ya mamlaka ya Rais.
1
@Magungulihuyya7562 · 11 days ago
Kwa ufafanuzi huu ni dhahiri kuwa hii hukumu haijaandaliwa na majaji ni maelekezo rejea kauli ya Rostam
@maase2023 · 12 days ago
Ulioata kuona wapi kesi ya uchochezi au uhaini ukapigwa faini? Mbn mnaleta vichekesho
@mage5371 · 13 days ago
Mmmmh jamani🤐🤐🤐
@emanuelpeter2489 · 10 days ago
YEYOTE ANAYESHIRIKI KUMUUMIZA TUNDU LISSU MUNGU AMUUE ROHO NA MWILI CHAP KWA HARAKA
@ReginaldMapunda-g7m · 12 days ago
Kwa mtu skishtakiwa kwa kesi ya kuua ambayo adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa halafu jaji akatoa adhabu ya kifungo cha maisha au kufungwa miaka 30,Jaji atakuwa amekosea?
1
@SaimonIkingu · 12 days ago
Samia rais wangu tenda hack dunia tunapita hayaa
Up next

Jumuiya za kimataifa kuingilia maridhiano CHADEMA na Serikali ya Rais samia,wote kuwekwa kati
Linconmedia · 27K views

Wakili kisabo na olengurumwa[THRDC] wapinga hukumu dhidi ya Lissu watoa hoja nzito zenye mashiko
Linconmedia · 2.4K views

AUAWA KWA RISASI NA WALINZI, FAMILIA YAGOMA KUMZIKA
ITV Tanzania · 1.7K views

🔴#LIVE: INTENSE CLASH BETWEEN LAWYERS KILATU AND NATHANIEL OVER LISSU'S VERDICT
JAMBO TV · 87K views

#LIVE | John Heche Azungumza Muda Huu, Atoa Kauli Nzito kuhusu Hali ya Siasa Nchini
The Chanzo · 4.5K views

LIVE KASRI : KIGAILA AMCHANA MAKAVU HECHE/ RAIS SAMIA AAGIZA KUHUSU UJENZI UNAONDELEA MASAKI
Crown Media · 21 views

Wakili olengurumwa aibua mazito sakata la Lissu kuhukumiwa kwa kosa la uchochezi bila kusikilizwa
Linconmedia · 8.6K views

Heche amjibu Rais samia bila kumwogopa''Maridhiano ni utapeli hatutoingia bila Lissu kutoka gerezani
Linconmedia · 3.8K views

Sakata la maridhiano lamuibuwa wakili olengurumwa aibuka na maswali magumu dhidi ya serikali
Linconmedia · 3.1K views

Baada ya Lissu kufungwa jela Wakili onesmo azungumza kwa uchungu sakata la Lissu kufungwa gerezani
Linconmedia · 5.3K views

Why did China send a Pakistani astronaut into space? | BBC News
BBC News · 261K views

Heche awashiwa moto baada ya kukataa maridhiano Kigaila amchana chana makavu bila kupepesa
Linconmedia · 907 views

Tundu Lissu kunusurika na kifungo cha miaka 4 jela mikakati ya haraka yawekwa wazi hii leo
Linconmedia · 31K views

Live:Tamko zito juu ya maridhiano Wakili olengurumwa ataka kuachiliwa kwa viongozi wa kisiasa
Linconmedia · 7.2K views

Live:CHADEMA kuingia kwenye maridhiano huku Lissu akiwa gerezani
Linconmedia · 3.3K views

EMS -ጄኔራል ጌታቸው ጉዲና..." -ሰበር መረጃዎች-ቀጥታ! Wed 25 Nov 2026
EMS (Ethiopian Media Services) · 41K views

#BREAKING: LISSU TO BE TAKEN TO COURT TOMORROW, FACING ANOTHER CHARGE?, DEFENDERS REVEAL SERIOUS ...
Mwanzo TV Plus · 38K views

WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA WAKAZI WA MALINYI,MOROGORO NOVEMBA 24,2026.
WALTER NEWS · 255 views

ታዬ ጥለውት የወጡት ስብሰባ ፤ የማይነበቡት የዐቢይ ደብዳቤዎች|ETHIO FORUM
Ethio Forum ኢትዮ ፎረም · 43K views

Wakili olengurumwa atoa kauli aitaka serikali kuwaachilia wafungwa wa kisiasa kuelekea maridhiano
Linconmedia · 1K views