Ads skipped

HII MPYA DR.SULLE AJA NA SOMO LA MIZIMU/SIYO NAFSI ZA WALIYOFARIKI IMEUMBWA NA M.MUNGU

33K views · Mar 9, 2026 · Education

Comments · 122

  • @sheda-tv · 5 months ago

    Alhamndulilah doctor Sule. Allalh akuongoze na akuzidishie ilmu

    1

  • @hancykanah4828 · 8 months ago

    Nakuelewa sana Shule,Nzito sana Hiii doctor 🫡

    6

  • @HASSANBAKARI-q9c · 8 months ago

    Shekh sule unachoongea kuhusu hayo majinamizi hujakosea hata robo...ngoja niwahadithie,,,marehemu bibi yangu alikuwa mvutaji sana wa sigara toka ujanani😢,na nmemshuhudia kwa macho yangu pamoja na kumnunulia kabsaa,,mi nilikuwa nazichukia ile mimoshi,,mungu si athumani akafariki,,,nikakaa kwa muda kidogo nikaanza kuvuta sigara na kuzipenda😢,,izi embassy mi nmepiga sana😢,,hivi navoongea sasahivi nimetumbukia kwenye sigara kali kule kule alipokuwa bibi yangu😢,,na mm nikifanya masihara nawaachia watoto wangu,,nachojaribu kuwaambia ndugu zangu,,,cha msingi ni kuomba duwa kwa wingi,mungu yupo,,,achana na masu ala ya kidini,,mungu wetu ni m1,na anatufaurisha sote kwa namna tofauti,,ni ,kumuamini mwenyezi mungu ktk kila hatua,,na kufanya yaliyo mema tu katk siku zote,,no way😢,,,kwasababu unachokifanya leo,,,kipo kizazi chako kitarithi iwe isiwe,asanteni

    11

  • @ErickWillison-b5h · 3 months ago

    Nakukubali Dr sule uko vzr baba e2

    1

  • @sheda-tv · 5 months ago

    Katika kila la kheri na akuepushe na kila la shari.

    3

  • @DullaBoy-i8d · 8 months ago

    Alhamdulilah  nashukur kwa elimu shekh wang mwenyezi mungu akujalie mwisho mwema

    2

  • @athmanhamza4898 · 8 months ago

    Hii ni kweli kabsaa nimedhibitisha, je kwa wale wanaomuota mtume Muhammad (S.A.W)

    2

  • @MwajabuMgemzi · 8 months ago

    Yaani nikweli kabisa nakuelewa sana nimejifunza kitu

    4

  • @dioganojosenuro5682 · 8 months ago

    Ninakuheshimu sana kwa sababu wewe ni bwana, mwalimu, mtaalamu wa mada ya ulimwengu wote. Naomba uwe na nguvu zaidi, kujitolea, na bahati nzuri. Bahati nzuri.

    1

  • @swalehsaidsaid4721 · 8 months ago

    Dkt. Sule Nakuomba usiige tabia za ustadh mazinge senior ( kujisifu) wape watu elimu na watu watakusifia na Mungu atakulipa ujira

    3

  • @musayosia4081 · 8 months ago

    Naam jazakallaahu khair

    1

  • @IbraSaid-cq6kt · 8 months ago

    MAANA YA MAVAZI YA HESHIMA YA WANAWAKE NI YALE MAVAZI AMBAYO HAYAWATAMANISHI WANAUME KAMA WANAYOVAA WANAWAKE WA KIISLAMU NDO MAANA UISLAMU NI DINI YA KWELI NA SAHIHI..........

    2

Up next

LIVE

🔴#Live: AL- HAJJ DR SULLE ANANIKA MENGI USIYOYAJUA - NDOA za MASTAA KUVUNJIKA na UTAJIRI WAKE...

Global TV Online · 43K views

LIVE

Kabaka Mutesa II: How Uganda's King Died in a London Flat | Full Documentary

Unscrolled Africa · 64K views

LIVE

The Story Book: Watu wenye uwezo Usio wa Kibinadamu.

Wasafi Media · 1.1M views

LIVE

Dmitry Polyanskiy: Europe's Broken Security Architecture Led to War

Glenn Diesen · 66K views

LIVE

DR.SULLE UKIJIONA UNA DALILI HIZI JUA UNA MIZIMU WABAYA AU WAZURI

ISLAAH TV · 28K views

LIVE

DR.SULLE ATOA UFAFANUZI WA NDOTO MBALIMBALI

ISLAAH TV · 4.3K views

LIVE

DR.SULLE JE, UNAWEZAJE KUZITAMBUA DALILI ZA MTU MWENYE MAFANIKIO? KARIBU KUPATA ELIMU

ISLAAH TV · 12K views

LIVE

MIZIMU INAWEZA KUKURUDISHA NYUMA KIMAISHA /NDOTO NI UFUNGUO WA MAFANIKIO DR SULE AFUNGUKA YOTE

Mbengo Tv · 2.8K views

LIVE

ROHO ZA MIZIMU | SEMINA DAY 3 TAREHE 27-10-2023 FULL VIDEO HD

Bishop Elibariki Sumbe · 90K views

LIVE

UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI

Mbengo Tv · 150K views

LIVE

WAPO MAJINI WAZURI NA WABAYA | WAJUE MAJINI NA TABIA ZAO - DR.SULLE

SINGO MEDIA · 5.1K views

LIVE

MCHUNGAJI ALIVYO KABWA KOO NA DK SULLE, VURUGU ZA HOJA ZALINDIMA KWENYE MDAALO

Mbengo Tv · 296K views

LIVE

MIMI SITOI UTAJIRI NIGEKUA NATOA UTAJIRI NIGEWASAIDIA NDUGU ZANGU, WANATAPELI KWA KUTUMIA JINA LANGU

KHIDMA TV · 22K views

LIVE

DR.SULLE MTUME WETU MOHAMMAD (S.A.W)ALITEMBELEA PEPO NA MOTO/PEPO IPO MSIJIDANGANYE

ISLAAH TV · 54K views

LIVE

🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA

ISLAAH TV · 102K views

LIVE

KWISHA DR.SULLE AIFICHUA SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE DOLLAR MOJA YA MAREKANI//JICHO LINA KAZI YAKE

ISLAAH TV · 43K views

LIVE

DR SULE AWEKA WAZI UTAJIRI WAKE WA PETE ZA BAHATI NA MAJINI | ATAJA VIONGOZI ALIOWASASAIDIA

Manara TV · 9.8K views

LIVE

HEE DR.SULLE SASA AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAJINI/WANA MALI NYINGI KULIKO WANADAMU

ISLAAH TV · 14K views

LIVE

DR.SULLE KILA MWANADAMU ANA VIUMBE WA KUMSAIDIA/NA HII NDIYO NJIA YA KUVITUMIA ILI UPATE MALI

ISLAAH TV · 8.6K views

LIVE

KILIO KWISHA DR.SULLE ATOA CODE TATU MUHIMU ZA KUFANIKIWA KIMAISHA KUPATA UTAJIRI NI RAHISI SANA..

ISLAAH TV · 30K views

YouTube, with the door locked.

Aegis plays a clean stream instead of YouTube's player, so pre-roll ads, trackers, and fingerprinting never ride along. Drop Shields any time if you want the official player back.