Ads skipped

🔴#Live: SIMU KUTOKA OMAN - WAFANYAKAZI wa NDANI WANATOA ya MOYONI - KWELI MATESO YAPO?...| MAPITO

15K views · Oct 20, 2024 · Entertainment

Comments · 357

• @globaltv_online · 2 years ago · pinned

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO  https://chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

2

• @NajatiRamadhan · 2 years ago

Huwezi jua chochote katika maisha ya wa fanya kazi wapo wanao pitia mazuri lakini wapo wanao pitia mitihani nyie shukuruni ni watangazani lakini mitihani nimingi kwa masikini

8

• @mwajoma1373 · 2 years ago

asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh  Dazari sisi wa Tanzania tunao fanya Kaz zandani Oman changamoto zakazi zingin ni zakawaida san Lakin wanazikuza san tuache kukuza mambo

13

• @Fatma-re2hw · 2 years ago

Kueni na shukran wacheni unafik na chuki binafsi mshukuruni Allah kwa neema munazozipata Oman

16

• @2awsomeforya_979 · 2 years ago

Kama unachangamoto mbona unamyaka 6 ,rudi Tanzania kama umechoka

7

• @خليفهالرحبي-ف4م · 2 years ago

❤❤❤Asanteee Dada Zari umefanya vizuri sana kuja Oman kuchambua ukweli yote yanayoongelewa sio kweli ni maneno ya kutungwa tu... Sio kweli..

Usisikilize tu ukaamini.. .. Jaribu pia uone macho ndio uamini

2

• @GdFf-ik2eo · 2 years ago

Ma sha allah

Mmependeza
Kwa kujistiri ma sha allah

1

• @Jenifajerad · 2 years ago

Watu bwana😂😂😂😂 simrudi tz mkaone maisha yalivo saa 10 watu washaamkq kwenda kwenye biashara

5

• @saidaljufaili915 · 2 years ago

In Shaa Allah Mwenyezi Mungu awasahilishie majukumu yenu

2

• @zahraalbaloochi2841 · 1 year ago

Tatizo wadada wa kazi watznia maporojo uzushi wa maneno ya uongo sababu ni wavivu sana!!

3

• @salamalsawaqi1206 · 2 years ago

Wao kama wameshindwa arudi tanzania wakalipwe mia na ishirini ya nini kulalamika????

5

• @KinanaSharif-u5m · 1 year ago

Hii chanal ya global inapatikana kwenye kingamuzi kipi mm niko Zanzibar naomba ufafanuzi

1

Up next

LIVE

🔴#Live: MAPENZI YA ONLINE YANAVYOWAMALIZIA PESA WAFANYAKAZI OMAN - INDIA - WANATUMA MAMILIONI....

Global TV Online · 8.3K views

LIVE

🔴#Live: MITANDAO YA KIJAMII OMAN: WADADA WAPO HATARINI ZAIDI KUPITIA Wi-Fi ZA BURE...#MAPITO

Global TV Online · 4.6K views

LIVE

Jumuiya za kimataifa kuingilia maridhiano CHADEMA na Serikali ya Rais samia,wote kuwekwa kati

Linconmedia · 41K views

LIVE

Kabaka Mutesa II: How Uganda's King Died in a London Flat | Full Documentary

Unscrolled Africa · 65K views

LIVE

🔴#Live:ITAKULIZA AMINA ANAFUNGUKA KILICHOMTOKEA OMAN, INAUMA ni UNYAMA, "NILIKWENDA KUTAFUTA MAISHA"

Global TV Online · 14K views

LIVE

🔴#Live: THE MARIAM SCANDAL - WHO IS TELLING THE TRUTH BETWEEN THE AGENT AND THE BOSS? - THIS IS W...

Global TV Online · 11K views

LIVE

PART 1: MBOSSO MAISHA YANGU YOTE NAUMWA | MOYO UMENILIZA SANA USIKU

Wasafi Media · 282K views

LIVE

The Janitor made Him HUMBLE | Anatoly Gym Prank

ANATOLY · 1.4M views

LIVE

🔴#Live: DADA wa KAZI wa OMAN AJENGA NYUMBA 2 DAR - MWINGINE AFANYIWA KITU KIBAYA na BOSI WAKE|MAPITO

Global TV Online · 12K views

LIVE

🔴#Live:MTANZANIA ATISHIA KUMUUA BOSI WAKE AIRPORT -ATUPWA POLISI UTATA -ANA TATIZO la AKILI | MAPITO

Global TV Online · 24K views

LIVE

🔴#Live:SAKATA LA MTUMISHI OMAN-MIAKA 6 BILA MSHAHARA LAFIKA MWISHO/FAMILIA YAKUBALI KUMLIPA-MAPITO

Global TV Online · 7.6K views

LIVE

🔴#Live: MAPYA! MREMBO MTANZANIA ANAYEPAMBANIA UHAI 'ICU' INDIA - WAZAZI WATOKWA MACHOZI...

Global TV Online · 15K views

LIVE

🔴#LIVE: SUPA BREAKFAST: SIRI NZITO YA BAINIKA UTEUZI WA MAWAZIRI / WAZIRI MPYA EZRAEL AFUNGUNGUKA

EastAfricaRadio · 52 views

LIVE

Grace Hour Service || Rising In The Midst Of Opposition(C) – Pastor Francis Ndeleva

JCCTV · 969 views

LIVE

#PART 2: MWENYEKITI wa WATANZANIA OMAN AFICHUA SIRI NZITO za HAKI za WADADA wa KAZI na WAAJIRI WAO..

Global TV Online · 3.5K views

LIVE

🔴#Live: MAPYA! WADADA wa KAZI OMAN WALIOTOROKA kwa MABOSI ZAO - UBALOZI WATOA UTARATIBU - SULEIMAN..

Global TV Online · 16K views

LIVE

OBINNA SHOW LIVE: Ruto's Government - RICHARD ONYONKA

Obinna TV Extra · 165K views

LIVE

WAKE UP WITH BBC KISWAHILI TODAY SATURDAY 11/21/2026

mkatavi tv · 55K views

LIVE

Goebbels’ Telefonistin erinnert sich: Der 20. Juli 1944 und Hitlers letzte Tage | Lucie Kluge (1997)

Xerxes - It's All History · 22K views

LIVE

Rahby || Qatar yafufua mazungumzo ya Marekani na Irani | 25 November 2026

IBRAHIM RAHBY · 14K views

YouTube, with the door locked.

Aegis plays a clean stream instead of YouTube's player, so pre-roll ads, trackers, and fingerprinting never ride along. Drop Shields any time if you want the official player back.