Mke AM-CHITI Mumewe Siku ya Pili Baada ya NDOA Wakiwa HONEY MOON, Aliaga Anatoka Nje Ku..
336K views · Oct 23, 2026 · Entertainment
Comments · 568
@tikitvog · 3 weeks ago · pinned
Kutazama Part 2 Bofya Link
https://youtu.be/zhOwcAORHeA?si=AKXkMVO230BZhqCt

Asante kwa kuichagua na kuendelea kuifuatili Tiki Tv #KiakiliZaidi
56
@HASSANBAKARI-q9c · 2 weeks ago
Stori itaenda sana...mwamba anajua sio tu kuelezea...anahakikisha unaelewa kabisa🤝
18
@janengowi-lt9gu · 3 weeks ago
Kuna baadhi ya watu wanaingia kwenye ulokole sio kwamba wameokoka wanitaji ndio ndani Yao bado hawana hofu ya Mungu wewe ulikutana na staili hiyo
8
@honorathampemba5392 · 3 weeks ago
Ndoa ni bahati nasibu kumpata anayefaa si rahisi. Lakini MUNGU NI MWEMA Utampata anayekufaa endelea kuomba
8
@ElizabethMkwamba · 3 weeks ago (edited)
Changamoto ya mahusiano yanahitaji sana kufahamiana kiundani maana mahusiano yapo kiroho asilimia 99 kuliko kimwili, LAKINI pia maombi ni Muhimu juu ya mahusiano mpaka upate amani ya ndani kwamba huyu ni mtu sahihi bila hivyo utajuta ukiwa ndani ya ndoa hivyo ni Muhimu kushughulikia kiroho kuliko kimwili ❤
7
@MarryEmanuel-gi9mc · 3 weeks ago (edited)
Kuna msemo omba Mungu akupe Mtu sahihi ambaye atakusidia kwenye maono yako,au kutumiza kusudi la Mungu alilokuitia Dunia
Kipindi Cha uchumba ni kipindi Cha kumsoma mtu Tabia Zake
Na kupima Akili zake zipo sawa,
7
@reaganhassan156 · 3 weeks ago
Jitahini kumaliza story ASAP,kila story iwe na sehem ya kwanza tu,maana sio kwa utamu huo halafu watu hatujaowa bado
7
@ZachariaLoser-f3c · 4 weeks ago
Alikuwa mchawi nuru na giza haviendani tatizo vijana wa sasa hv hamuwi makini kumshirikisha MUNGU au kufuatilia tabia za ukoo yeye mwenyewe pole sana
25
@JoyceJohn-f2d · 3 weeks ago
Huyo mwanamke. alikuwa kichaa sio mzima mmmmh🥲🥲
9
@elieneapalangyo6938 · 3 weeks ago
Ila mwalimu wa dini tena mwinjilisti na roho wa Mungu anayo
3
@TheresiaChami-v2y · 3 weeks ago
Pole sana kaka uliowa ajenti wa kipepo wa kuuwa huduma yako
8
@AnnaMarmo-b1x · 3 weeks ago
Huy atakuw ni agent wa shetan anatak kumharib huy kijan lengo asifik mbingun, mungu Huw ni mwaminifu kwa aliye mwomba mke au mme sahih anampa ambay watashikaman kufany Kaz ya mungu, nahs hakumwomb mungu, pol San we rud kwa mungu atakupony na hz changamoto
5
Up next

WATU WABAYA SANA! Walichonifanyia Nilipoanza KUJENGA NYUMBA, Mke Wangu Naye Aka..
Tiki Tv · 5.1K views

Part 2: Wife CHEATS on Husband on Second Day of MARRIAGE While on HONEYMOON, Said She Was Steppin...
Tiki Tv · 70K views

Hili ni kosa kubwa linalofanywa na watu wengi. Hebu msikilize kijana huyu
Uzima wa Milele · 48 views

I WISH I HAD MARRIED A POOR MAN! The Cry of a WIFE Who Chased MONEY Without Knowing Her Husband's...
Tiki Tv · 21K views

ALAZIMIKA KUWA NA MAPENZI NA PAKA ILI KUOKOA MAISHA YAKE UARABUNI, NILIKUWA NA..
Tiki Tv · 2.4K views

NILIZAMA BAHARINI KWA SIKU TATU, UPEPO ULIKUA MKALI. "TUNATUMIA MAJENGO KAMA ALAMA YA KUJUA UELEKEO"
Captain Josiah Mwakibuja · 22K views

I persevered through a physically abusive marriage with a pastor for 10 years- Irene Tesh
Tuko / Tuco - Kenya · 413K views

Part 2: You'll Love It, Mama Ima Answers Questions About "CHEATING" On Her Husband During Their H...
Tiki Tv · 23K views

He Was Jailed for Life Over a Lie… Now He’s Finally Free
ITUGI TV · 11K views

MAMA LOVE amvaa NANDY kisa UGOMVI na ZUCHU Kwanini UKATAE KUFANYA NYIMBO ya PAMOJA ?
96 LINK · 12K views

JENIPHER KANUMBA ASHEREKEA NDOA YAKE NA PATRIC KANUMBA AKIWA KAMA MGENI MUALIKWA | HISTORIA HII HAPA
Kibox Media · 63K views

SITAMSAME MKE WANGU: AMENIFANYIA KITU KIBAYA SANA, NAPITIA MATESO MAKALI HADI NA..
Tiki Tv · 144K views

KUTOKA KUWA CHOKORAA HADI KUMILIKI UTAJIRI WA ZAIDI YA BILIONI, MAJUMBA, MAGARI NA...
Tiki Tv · 135K views

Imani za asili zilikuwa bora kuliko dini za leo? | Wenye Dini Vs Wasio na Dini | MUAFAKA Ep. 3
Denzo Production · 205K views

Cheza Na Dr piupiu at your own risk 🔥🔥Mzee aligeuzwa kipofu ju YA kutosema ukweli😭😭
FRED FAMILY TV(Jared) · 1.9K views

Huyu Hapa: MKE Anayedaiwa KU-MCHITI Mumewe Wakiwa HONEY MOON Siku ya Pili ya NDOA Nilienda Ku..
Tiki Tv · 25K views

KWA UCHUNGU, LINAH AMJIBU ZUCHU | NIMEUMIA SANA | KWELI MIMI NI MFU NINAYETEMBEA | SIKUTEGEMEA UNGE
HOT NEWZ · 6K views

I REGRET IT: I Caught My FIANCÉE Cheating, So I Married Her YOUNGER SISTER To Get REVENGE..
Tiki Tv · 24K views

Nyumba iliyo vunja ndoa na kukosa amani
Tales Tea Room-254 · 4.9K views

Part 3: Wife DUMPS Husband on Second Day of MARRIAGE While on HONEYMOON, Said She Was Going Outsi...
Tiki Tv · 46K views