RAIS MAGUFULI ATINGA KWENYE DARAJA LILILOKATIKA MORO, ATUMBUA WAHANDISI 12, AMFOKEA WAZIRI...
263K views · Mar 16, 2020 · News & Politics
Comments · 330
@jumasaidi8157 · 6 years ago
Sijawahi kusikia mhe Rais yeyote anaomba radhi wananchi ni mhe Rais magufuli tu. Kwa kweli Ameguswa sana na hili tatizo.
28
@hassanabdu6862 · 6 years ago
Mungu azidi kukulinda mheshimiwa Rais wetu.
15
@abdulmtitu7478 · 6 years ago
Ninachokupendea mheshimiwa unajua vitu vingi,hata unapouliza swali unajua unachokiulza so n ngumu kudanganywa,,mungu akulinde na hila za mafisadi wanaokuombea mabaya kila kukicha
17
@georgemahembe3538 · 6 years ago
Mungu akulinde na hila zote za wanao kuombea mabaya Rais wetu endelea kuwafundisha wasiopenda maendeleo ya nchi yetu mungu ibariki Tanzania Mungu m'bariki Rais wetu Amen
3
@dissankone3425 · 6 years ago
Lindwa na nguvu za MUNGU Rais wetu katika jina la YESU tunaomba🙌
3
@neemakilomoni4258 · 6 years ago
Yani Mgufuli ana maswali ya maaana hadi mtu unajona mjinga Daaah jamani watumishi jifunzeni kupitia kwake cheo ni dhamana tuwe wazalendo wa taifa letu
26
@mangegervas9651 · 6 years ago
Saafii mzee... Gud jpm nakwamin mno... 2020 kura yangu nakupa
12
@azirplatnums6958 · 6 years ago
Waziri wa ujenzi Kama kapigwa na shoti hivi😁😁
14
@felistermaximillian2793 · 6 years ago
Kweli rais wetu mchapakazi Hadi site anaenda 👍👍👍👍
10
@loner_wolf · 6 years ago
Ukiomba msamaha , alafu unayemuomba akakaa kimya sekunde kadhaa Kisha akatoa kitambaa mfukoni akafuta jasho ...ujue amekusikia na roho mtakatifu kasogea ktk maamuzi yaliyokuwa yanakwenda kufanyika. 😃😃😃
39
@nagwaahamushenyi6282 · 6 years ago
Mheshimiwa Rais MAGUFULI ni mchapakazi. Hii haikwepeki,..
14
@tanzaniakwanza1699 · 6 years ago
Hongera rais wetu, you r genius
10
Up next

MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
Global TV Online · 2M views

RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASUMBWE - MBOGWE AKIWA NJIANI KULEKEA CHATO GEITA
Ikulu Tanzania · 54K views

Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA"
Global TV Online · 897K views

🔴#LIVE: PRESIDENT MAGUFULI FURIOUS - "WHERE ARE THE 7 MILLION, YOU'RE ANNOYING ME, I WILL FIRE SO...
Global TV Online · 331K views

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
Azam TV · 464K views

ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NACHINGWEA NA MASASI .
Ikulu Tanzania · 72K views

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4
Adam Gille · 158K views

MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
Global TV Online · 262K views

MAPOKEZI YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKIWASILI MWANZA - 03 JULY 2017
Adam Gille · 129K views

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU
Ikulu Tanzania · 291K views

RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAHAMA - SHINYANGA AKIELEKEA CHATO MKOANI GEITA
Ikulu Tanzania · 109K views

DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
Global TV Online · 1.9M views

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4
Adam Gille · 1M views

ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI RUKWA YAACHA MTIKISIKO POLISI
Global TV Online · 42K views

MAGUFULI AWAKA, AMSHUSHA BODYGUARD KWENYE GARI, AMNYANG'ANYA MKURUGENZI GARI
Millard Ayo · 722K views

President Magufuli confronts Manyoni Director over 90-year-old woman's case
EastAfricaRadio · 71K views

'KUANZIA LEO WEWE SI KAMANDA TENA'FURIOUS PRESIDENT MAGUFULI FIRES LAZY WORKER ON SPOT!
Mutembei TV · 171K views

Rais MAGUFULI Alivyosimama BARABARANI Kusikiliza Kero za Wananchi
Global TV Online · 5.2K views

"GO CATCH HIM NOW, PUT HIM INSIDE ASAP" - JPM
Global TV Online · 1.2M views

Yaliyopamba kampeni za Dkt John Magufuli katika Safari ya Ikulu
MICHUZI INTERVIEWS · 366K views