ASKOFU MWAMAKULA AMUANDIKIA WAEAKA HUU JAJI MKUU KUTOKANA NA KAULI YA KUTOINGILIA HUKUMU YA MAHAKAMA
8.5K views · Nov 23, 2026 · Music
Comments · 26
@MashakaKalamba · 2 days ago
Asante sana Askofu Mwamakula.<br>Kinywa chako kimetumiwa na Mungu.<br>Barikiwa sana.
1
@richardamswetyjesus8017 · 1 day ago
nzuri sana hii, nawaombea wote wanaopenda haki
1
@mohamedturanardan8871 · 2 days ago
Jaji lazima amtetee bwana wake aliemchagua. Katiba mpya sasa
2
@JohnJoseph-j3h2n · 2 days ago
Lijaji.la.hovyo sana
2
@AgnesMnyuka · 1 day ago
Lili SIMAMa kanisan nakutia maneno ya hekima nakutumia bible juu nikaliona la maana kweli kumbe lilikuwa shati nasurualli, hakunamo mtu duuu!
1
@mgangazephaniah230 · 1 day ago
Kanisa la kisabato tusitumie hyo mimbari kwa kunajisi Mungu, ila Mungu atukuzwe
@AidanMichael-i6b · 1 day ago
Wewe kionglozi wa dini hustaili pia kujiingiza kwenye maamuzi ya mahakama au siasa msipende kujipeleka mbele kuhukumu bila nyinyi kuhukumiwa
@EmmanuelMugeta-z1j3d · 1 day ago
Je ni kosa kujadiri hukumu kisheria?
1
@StephenMpallange · 1 day ago
Tatizo lililoko Sasa Tz ni kwamba Kila Idara ya Serikali imegeuka kuwa ni Chawa, wa watawala na kuacha weledi wake wa Kitaaluma katika Kada husika.Hapa Jaji Mkuu kajigeuza kuwa mwanasiasa na chawa ,Kwa kweli katika hili Jaji Mkuu amejidhalilisha vibaya kitaifa na Kimataifa.
@johnmchele379 · 1 day ago
Mh. Judge Mkuu anapaswa kukwepa ugeni rasmi kwenye matukio ya kijamii maana makosa yake ya matamko ya kibinadamu yanashusha hadhi ya Mahakama.
@EndruDavid-u7x3b · 1 day ago
Kwani kufika mahakamani inauhusianogan kwan nn mana ya utandawaz, mnatuangusha wasomi
@Emmanuel-g4d2p · 18 hours ago
Mahakama za Tanzania zime bakwa na Wana siasa wa ccm walituambia waziwazi mchana kua vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania yote ni maliya ccm ikiwemo mahakama police jeshi la wananchi DCI hakuna haki
Up next

SIKUPIGWA,NILIANGUKA BAFUNI,MKONO UKAVUNJIKA.
CLOUDSMEDIA · 12K views

MWABUKUSI AJILIPUA KAULI YA JAJI MKUU! | KATAMBI ATOA ONYO ZITO! | SAMIA ATANGAZA KATIBA MPYA,
HARAKATI TV · 32K views

Ndejembi Apata Pigo! Samia Na Mwanaye Abdul Wamtema kama Nchimbi; Tuhuma zaanikwa na Serikali kuu
Tanzania News Tv Ezra and Ezra's Kenyan Media · 1.7K views

Gafla Usiku Huu; Chadema Wamtumia Samia Ujumbe Mzito Kuhusu Maridhiano Bila Lissu
Tanzania News Tv Ezra and Ezra's Kenyan Media · 9.2K views

Dr. Azavel atoa onyo: bila Lissu, Maridhiano ya kweli hayawezekani.
SAUT DIGITAL · 35K views

TUNATOFAUTIANA MITAZAMO NA MWEKEZAJI | BILIONI 20 HAZIKUINGIA KWENYE AKAUNTI YA SIMBA | MANGUNGU
M&S PODCAST · 10K views

Yeremia Maganja responds to Judge Masaju! Opens up about the nation's future and presents a power...
SAUT DIGITAL · 11K views

BEFORE THE DINOSAURS | The Lost Kingdom of Giant Monsters | Full Documentary
Reino Perdido · 2.4M views

BREAKING NEWS: PRESIDENT SAMIA ANNOUNCES CABINET APPOINTMENTS AND SHUFFLE, MSIGWA AND KOMBO AFFECTED
UHURU MEDIA ONLINE · 797 views

ANGEL NA MAMA YAKE WATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA
UWAWAMA ONLINE TV · 43K views

Rahby || kwanini Ukraine inaiga tabia y Israel?
IBRAHIM RAHBY · 6.2K views

TUMEKWAMA. TUJITAFAKARI. WAZEE WA TAIFA WAKO WAPI? (1)
SK Spectrum · 19K views

ASKOFU GWAJIMA NI BALAA AJILIPUA MAZIMA, "SIASA TUMEWAACHIA WATU WAOVU, NDIO MAANA MAMBO HAYAENDI"
Mwanzo TV Plus · 13K views

AAFP Chairman spills deep secrets regarding the reconciliation plan
SAUT DIGITAL · 11K views

Mwabukusi Goes Wild: Lissu’s Verdict, Nchimbi and the Constitution—'Where is Polepole?'
WAKILI TV · 29K views

JOHN HECHE AMLIPUA JAJI MKUU WA TANZANIA, AMPA VIFUNGU VYA MAANDIKO HUKUMU YA TUNDU LISSU
HABARI 24 · 90K views

Daraja la MAMILIONI laanza kubomoka kabla ya kutumika / Serikali ni DALALI , Serikali haileti maen..
Mwalimu Google TV · 6.3K views

“The current constitution is beyond repair!” Maganja warns Tanzanians.
SAUT DIGITAL · 16K views

#Live :John Heche Ampiga Maswali Magumu Jaji Mkuu kisa Kumuonea Tundu lissu kwa kesi ya Uongo.
Mashwishwi TV · 5K views

PADRI KITIMA: Watanzania wanalazimika na kulazimishwa kusifia ili kufunika maovu ya watu fulani
Jaizmela News · 270K views